Hellow wakuu.
Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku hivyo aje awajulishe kuwa queenkami is no more.
Hii imenifanya nifikirie kuwa labda baadhi ya wenzetu ambao tulikua nao humu siku zote kisha wakapotea moja kwa moja labda wameshatangulia mbele za haki.
Pamoja na kuwa wengine wanaweza kuwa wameamua kuwa wasomaji au kubadilisha ID lakini nina amini wapo wenzetu waliofariki bila sisi kufahamu.
Ni Chetuntu tu ndiye tuliweza kufahamishwa kuwa member mwenzetu hatunaye tena.Na dedicate wimbo huu kwa Chetuntu na wengine wote waliotutangulia. R.I.P

Last edited by a moderator: