Tujuhane Tuliovunja Mechi Tukiwa Eneo LA Tukio

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
764
378
......Nimetumia Tafsida, Niliwahi Kuwasikiana na Dem Fb, tukahamia Whatsap,mpka mwisho tukapanga Appointment Tuonane maeneo Kwa Ajili ya Show Ya Kibabe,.....

Kweli Akafika na Alikuwa vile vile kama nilivyokuwa namuona katika mitandao...Tukazama Maeneo dah, mtoto wa Tanga, Akawa Anang'ang'ania Taa Zizimwe, Nikam mkomalia mpaka Ikashindikana ,ile Kuvua Tu, Dah Yaani Duuuuh
Mwanamke kama Chui, Madoa madoa Kama Serengeti Lager, dah Jamaa Akanywea Kabisa, na Nikashindw Kabisa Kufanya Lolote.

Nikampa Nauli Arudi Kwao Mbagala.

Dah Nilikoma Na Nilijuta Sana.
#WEWE TUKIO GANI WAKUMBUKA?
 
Jf kama vile Facebook zamani kama miaka minne nyuma wakati sijajiunga na jf nilikua nasoma post zenye kuelimisha sana, na zilizokua na sifa za kuandikwa na ma GT, lkn saiv mtu akianzisha thread ya maana haijadiliwi kbsa, ni mambo ya ngono2 asbhi mpka ucku
 
mkuu JF Kama kisu unaweza itumia jikoni au kuulia ,jitambue unataka nn nenda jukwaa husika ,maujinga Kama haya wengine tunayakubali sana yanatufanya tucheke tusahau vyuma kukaza ,we nenda kule GT Utakutana na wenye mauserious na maakili wenzako
 
......Nimetumia Tafsida, Niliwahi Kuwasikiana na Dem Fb, tukahamia Whatsap,mpka mwisho tukapanga Appointment Tuonane maeneo Kwa Ajili ya Show Ya Kibabe,.....

Kweli Akafika na Alikuwa vile vile kama nilivyokuwa namuona katika mitandao...Tukazama Maeneo dah, mtoto wa Tanga, Akawa Anang'ang'ania Taa Zizimwe, Nikam mkomalia mpaka Ikashindikana ,ile Kuvua Tu, Dah Yaani Duuuuh
Mwanamke kama Chui, Madoa madoa Kama Serengeti Lager, dah Jamaa Akanywea Kabisa, na Nikashindw Kabisa Kufanya Lolote.

Nikampa Nauli Arudi Kwao Mbagala.

Dah Nilikoma Na Nilijuta Sana.
#WEWE TUKIO GANI WAKUMBUKA?
Uiiiiiiiiiii mkuu hayo madoadoa yalikuwa wapi na uliyaona aje na huko taa umezima, nipe taarifa mkuu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom