Tujuane Wanaosikiliza Mziki Wa Trapmetal/Ragecore /Screamo Rap

Hackboy

Senior Member
May 25, 2013
139
244
Napenda tujuane wale wote tunaofuatilia mziki wa TRAPMETAL.
Au kwa wale wasio ujua, lakini wamechoka mainstream music wanaweza fanyia utafiti hii, tunawakalibisha sana kwenye hii dark community.

Wale tunaojiona ni outsiders nakuwahi kuwaza kujiua, hii imetuokoa nakutambua ni sawa kuwa lonely and different.

Kama ni muoga au mtu wa dini ni bora upotezee.
Kwa maana uku utakuta kuna titles kama WHERE IS YOUR GOD NOW? , LET THE WORLD BURN etc.

Hii ni kwa wanaopenda horror, demons, atheism, hacking, japanese anime, emo rap, heavy metal, hard rap, and goth related. Fatilia hii. Wapo Youtube, Soundcloud etc. Nyimbo zao zina million views lakini hawapigwi kwenye TV, au Radio. Wako mbele ya muda.

Kuna wasanii kama Scarlxrd, Prxjek, HXNJV, OMENXIII, Itsoktocry, Fukkit, Kamiyada, Zillakami, etc na old songs za XXXTENTACION na TEKASHI69 ni TRAPMETAL pia kuna female artists like LUCIFENA, IC3PEAK na Zheani etc.

Kama unapenda hacking, programming, demons, na atheism mchek OMENXIII albums zake zote kama HACKER, DECODED, NIHIL etc.
Kama hiyo album ya DECODED nyimbo zake zote majina yako in binary code, 0s and 1s.

Wanapenda kwenye majina kutumia x instead of o. Na v instead of a. Au namba instead of herufi (leet speak).

Scarlxrd (inatamkwa Scarlord),
Prxjek (Projek),
HXNJV (Honja),
OMENXIII (Omen 13),
Itsoktocry (Its Ok To Cry),
IC3PEAK (icepeak)

Vipi mnaonaje hii aina ya mziki?

IMG_20200422_192317_821.jpg
 
This music is fxr lxxsers whx hvve nxthing tx dx vnd wvnt tx kill theyselves

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
This music is fxr lxxsers whx hvve nxthing tx dx vnd wvnt tx kill theyselves

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Ni kweli, na hauko nje ya maada. Lakini hii aina ya mziki imetuokoa tuliojiona loosers na kujaribu kujiua.
 
Ni kweli, na hauko nje ya maada. Lakini hii aina ya mziki imetuokoa tuliojiona loosers na kujaribu kujiua.
ila kama imeokoa mmoja basi kuna 9 imewaua...maana watu huwa wanaisikilizs wanaanza kujichanachana mpaka wengine wanajiua

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
 
ila kama imeokoa mmoja basi kuna 9 imewaua...maana watu huwa wanaisikilizs wanaanza kujichanachana mpaka wengine wanajiua

Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Sio kwel, kwa sabab kila anayesikiliza ndio anaacha kujaribu kujiua au nakujikatakata. Fatilia ilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom