Tujiulize: Why always Lowassa?

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Mmhhh! Huyu mzee Nina kila sababu ya kusema kuwa bado ni Wa kwetu Lumumba.

Why?
Sijawahi kuona amevaa nguo/sale/ jezi yoyote iitwayo ya chadema

Sasa ni kwa nini?
‪+255 756 997 052‬ 20170527_214032.jpg
 
1. Hivi Lowasa ni nani katika nchi hii jamani
2. Kila siku nasikia Lowasa au hidden president on my eyes
3. Suala la mchanga, tetemeko la ardhi bukoba, rambi rambi arusha, mikataba mibovu yote hii na mengine mengi tatizo ni Lowasa, who is Lowasa. Kama Mfalme si tupige chini
 
Nyerere muasisi wa ccm alivaa sare zenu?.

Mbona kina Mkapa wanaoshinda kwenye hizo sare zenu ndo "kupe" - Parasite kwa wananchi wa Taifa hili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom