Tujiulize swali jepesi: Rais wetu JK asipotangaza baraza jipya la mawaziri tufanye nini?

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Kwa rais ambaye mambo yake hayaeleweki eleweki kama siri ya kinachotokea kaburini. Lazima tuwe na majibu ya swali hili kabla, kwani chochote kinaweza kutokea. Inawezekana akaunda baraza jipya lakini likiwa na sura zilezile huku huyu akimuhamisha wizara hii na kumpeleka ile. Bado atakuwa hajakidhi matakwa ya malalamiko ya watanzania. Itakuwa sawa na sifuri. Pia huyu ni rais ambaye anaweza kubadilika kama kinyonga, ikitokea pia akaghairi kutangaza baraza hilo jipya. Sisi watanzania tumejiandaa kuchukua hatua gani? Au tutapiga kimya kama kawaida yetu?
 
Swali lako ni kama kusema hivi haja kubwa ikigoma kutoka nifanyeje? Majibu mepesi ni kuwa haja kubwa haiwezi kukataa kutoka kama unakula na kushiba vizuri.

Kwa hiyo sitegemei rais asitangaze baraza la mawaziri.
 
Kuna kitu kinaitwa costipation, Yaani haja kubwa inakuwa ngumu sana inashindwa kutoka hata kama umeshiba. hali hii inasababishwa na magonjwa, aina ya vyakula hata hali ya hewa. Mara nyingi matibabu yake ni dawa zilizo katika kundi la Pagatives au laxatives. kwa hiyo mimi nilivyomwelewa mwanzilishi wa thread alitaka kujua kama tumeshaandaa hizo pagative pale haja kubwa itakapogoma kutoka.
 
Ukizidisha manjonjo na pilipili nyingi sana katika mlo, matokeo yake unaweza kuharisha. Ndicho unachosema wewe. Sasa bora nini? Uharo! Au yale magumu kiasi?
 
Jk ametishwa na mawaziri wanaotuhumiwa kuwa wakitoswa majimbo yao yataenda CHADEMA

Vyovyote itavyokiwa ni lazima baraza litangazwe. Kujifungua kwa operation au kwa njia ya kawaida kote ni kujifungua.

Kuhara au kutohara kote ni kujisaidia tu.
 
Kuna kitu kinaitwa costipation, Yaani haja kubwa inakuwa ngumu sana inashindwa kutoka hata kama umeshiba. hali hii inasababishwa na magonjwa, aina ya vyakula hata hali ya hewa. Mara nyingi matibabu yake ni dawa zilizo katika kundi la Pagatives au laxatives. kwa hiyo mimi nilivyomwelewa mwanzilishi wa thread alitaka kujua kama tumeshaandaa hizo pagative pale haja kubwa itakapogoma kutoka.

Mimi nilivyomuelewa ni kwamba tufanyeje haja kubwa isipotoka?. Ni suala la kula mapapai kwa wingi. Kitaeleweka tu
 
Jk ametishwa na mawaziri wanaotuhumiwa kuwa wakitoswa majimbo yao yataenda CHADEMA

Mungi wewe ni mkongwe hapa jukwaani, hivi unafikiri kweli hivyo vitisho vinaweza kumfanya rais asitangaze baraza la mawaziri?

Kwanza nakuhakikishia hakuna mbunge wa CCM anaweza kujiuzuru ubunge hata akitemwa uwaziri. Wengi ni waoga na hawaamini ushindi nje ya CCM.
 
Sisi watanzania tumejiandaa kuchukua hatua gani? Au tutapiga kimya kama kawaida yetu?

swali ni kwamba wewe kama mtanzania baraza la mawaziri likibadilishwa au likiachwa hivi hivi wewe itakuletea mabadiliko gani kimaisiha? kumbuka hata wakiletwa wengine policy ya serikali ni ile ile ya chama cha ccm. Mi personally abadilishe asibadiliishe hainihusu zaidi ya kuja tu hapa na kuchangia kwenye hii bodi....
 
Vyovyote itavyokiwa ni lazima baraza litangazwe. Kujifungua kwa operation au kwa njia ya kawaida kote ni kujifungua.

Kuhara au kutohara kote ni kujisaidia tu.

Kote ni kujisaidia sawa, lakini uharo unaotokana na pilipili nyingi inakuwa kama adhabu hivi! Manake unakuwa kama unajisaidia visindano vidogo vidogo.
 
Back
Top Bottom