Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
TuJIULIZA Je:
Nikija kwa NEC Najiuliza vile vile JE:
-NEC wanahitaj kuskukumwa na nguvu ya umma kutangaza matokeo haraka? Mfano mwanza
-Si busara kumpandishe cheo msimamizi wa Musoma kwa kuonyesha mfano mzuri. Musoma imekuwa Jimbo la kwanza kutoa matokeo. Je walitumia vifaa gani wenzao wasivyokuwa navyo?
Je nini tafsiri yako ya matokeo haya mpaka sas. Kwa nn wapinzani wamefanikiwa
- Tuipongeze serikali ya JK kuweka mazingira fiar kidogo na hivyo wapinzani kufanya vizuri mwaka 2010?. NB baadhi haya matokeo halali ya wapinzani kushinda yamekuwa yakichakachuliwa miaka ya nyuma.
- wananchi ,vijana kwa wakubwa tumeanza kushtuka usanii wa CCM?
- Ni udhaifu wa JK kushughulikia UFISADI ndio umechangia kuongeza nguvu ya Upinzani?
- Ni vyama vya Upinzani hasa CHADEMA vimeaaza kuwafikia wananchi na sera zao kueleweka na kukubalika?