Tujiulize je:- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujiulize je:-

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtazamaji, Nov 2, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  TuJIULIZA Je:

  • Tuipongeze serikali ya JK kuweka mazingira fiar kidogo na hivyo wapinzani kufanya vizuri mwaka 2010?. NB baadhi haya matokeo halali ya wapinzani kushinda yamekuwa yakichakachuliwa miaka ya nyuma.

  • wananchi ,vijana kwa wakubwa tumeanza kushtuka usanii wa CCM?

  • Ni udhaifu wa JK kushughulikia UFISADI ndio umechangia kuongeza nguvu ya Upinzani?

  • Ni vyama vya Upinzani hasa CHADEMA vimeaaza kuwafikia wananchi na sera zao kueleweka na kukubalika?


  Nikija kwa NEC Najiuliza vile vile JE:
  -NEC wanahitaj kuskukumwa na nguvu ya umma kutangaza matokeo haraka? Mfano mwanza
  -Si busara kumpandishe cheo msimamizi wa Musoma kwa kuonyesha mfano mzuri. Musoma imekuwa Jimbo la kwanza kutoa matokeo. Je walitumia vifaa gani wenzao wasivyokuwa navyo?


  Je nini tafsiri yako ya matokeo haya mpaka sas. Kwa nn wapinzani wamefanikiwa ​
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  mmmmmmh
   
 3. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Swali lako la kwanza.
  1.Mbeya Vijijini masanduku yalibebwa juzi usiku na yamefika leo office ya mkuu wa wilaya bila mawakala.
  2.Kutangaza matokeo hadi watishiwe na wananch.
  Kwa mifano hii 2, unadhan wanastaili pongezi?
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hata mimi bado najiuliza maswali ndio maana nimeleta hapa jamvini.ndio maana nikajiuliza swali je NEC wanahitaji pressure ya wanachi kutangaza matokeo. NEC wasishangae uchaguzi wa 2015 majimbo mengi zaidi watu wakagoma kulala.
   
 5. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama mkurugenzi anaweza akaamrishwa na mtoto wa rais apindishe matokeo. Hiyo ndio serikali ya kusifiwa.
  Vyama makini kama chadema,wanaharakati, Tamwa, femaact, twaweza, hakielimu, na baadhi ya vyombo vya habari vimesaidia kuleta hayo mabadiliko.
   
Loading...