Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,172
- 45,891
Mimi hizi alikuwa anasikiliza sana mzee, kuna ngoma moja ya TP Ok jazz wanaimba hivi "nalingi nabomelaka libala eh nasandoka matata na ngayi papa ya bana" unaweza kuwa unaifahamu jina ? ipo kwenye playlist moja ya franco inaitwa non stopNamkumbuka bi mkubwa alikuwa anatuimbia karibia album yote hasa Moyibi,Armour Perdu na Eve Matoko nk kwenye album aliyoshirikiana na marehem Pepe Kalle