Tujitafakari: Kwanini wananchi wanyonge wamlilie Hugo Chavez na hayati Magufuli?

Wanyonge ni watu wasio na akili, si shangai kuwa raisi wako alikuwa hana akili vilevile sawa na wanyonge unaowasema

knowledge is regarded by the fool (wanyonge) as an ignorance
 
Kwanza Sio kila nchi ina wanyonge tambua hilo. Maana unyonge unatengenezwa na serikali yenyewe ili iweze kuwatawala vizuri.

Pili sio kila anaelia msiban kaumizwa na kifo cha mhusika, wengni walilia kwa kukumbuka mateso na machungu waliyoyapitia wati wa uhai wa mhusika
 
Hivi mnyonge Ni Nani? Wale walibambikiziwa kesi au..., Au wale ambao mazao yao yalipigwa marufuku kuuzwa nje au kwenye makampuni? Maana korosho na kahawa ilikuwa Ni marufuku kuuzwa kwenye makampuni ya nje
 
View attachment 1777914
Sasa Bibi kama huyu anajielewa na unaweza kumweka katika kundi la wananchi wanaojitambua !.

Hakuna mtu mwenye akili zake timamu aliyemlilia labda kama ungesema DC wa Hai ningekuelewa.
Walompenda ni wazee walio jisahau kujiandaa wakistaafu na mafao wametumia vibaya,vijana wavivu kufikiri na maisha yamekuwa msiba kwao,wachumia tumbo waviziaji wateuzi ambao wengi kawapaisha wake hohehae,watu hawa wanawivu na watu walio nyoosha mipango yao wanafurahi mtu anavyo wakwamisha
 
Chozi la mnyonge halina thamani? Hapana Mungu huwa analiona.

Kwa nini Hugo Chavez na Hayati Magufuli waliliwe na wanyonge kiasi cha kushangaza dunia?

Mbona George Bush snr hakuliliwa na wanyonge?

Siasa zina mambo mengi sana. Ila mengi ni mabaya.View attachment 1777899View attachment 1777901
Watu aina ya AIKA yule aliyekajimilikisha vuzimba pale soko la Morogoro then akawa anachaji wanaokodi vizimba elfu 50 badala ya elfu 20 watampenda vipi Magu? Huyo ambae akichajishwa elfu 50 badala ya 20 elfu atampenda tu Magu.
 
View attachment 1777914
Sasa Bibi kama huyu anajielewa na unaweza kumweka katika kundi la wananchi wanaojitambua !.

Hakuna mtu mwenye akili zake timamu aliyemlilia labda kama ungesema DC wa Hai ningekuelewa.
Watu aina ya AIKA yule aliyekajimilikisha vuzimba pale soko la Morogoro then akawa anachaji wanaokodi vizimba elfu 50 badala ya elfu 20 watampenda vipi Magu? Huyo ambae akichajishwa elfu 50 badala ya 20 elfu atampenda tu Magu.
 
Mnyonge ni mtu gani? Mnyonge ni mtu anaye nyimwa haki yake. Mnyonge ni mtu ambaye anakandamizwa na utawala akihangaika kulima, mazao yake yanaporwa, au anapangiwa bei ya kuuza, au anapangiwa sehemu ya kuuza. Hayuko huru kufanya kazi zake.

Mfanyakazi mnyonge hapandishwi mshahara. Anatumikishwa. Hana sauti, hawezi kudai haki. Hawezi kuchagua kiongozi anaye mpenda maana kura yake inaporwa. Eneo lake na nyumba yake inachukuliwa na serikali bila kulipwa fidia. Akifikwa na majanga ya asili kama matetemeko au mafuriko serikali haimpi msaada inasema siyo iliyoleta majanga.

Akilalamikia malipo ya choo anaambiwa akae na mavi yake.

Mnyonge hama sauti, hasikilizwi.

JPM alitengeneza wanyonge ili awe kiongozi wa wanyonge. Fundi mkuu akafanya yake.

Serious kiongozi yeyote anayeweza kujisifu kuwa ni kiongozi wa wanyonge anatakiwa akataliwe. Maana kiongozi mzuri anawatoa watu kwenye unyonge.
Watu aina ya AIKA (Manka) yule aliyekajimilikisha vuzimba pale soko la Morogoro then akawa anachaji wanaokodi vizimba elfu 50 badala ya elfu 20 watampenda vipi Magu? Huyo ambae akichajishwa elfu 50 badala ya 20 elfu atampenda tu Magu.
 
So na wewe mleta mada ni mnyonge ?

So Mzazi,Mwenzi,Ndugu wako akifariki ukilia inamaanisha kuwa wewe ni myonge?
 
Chozi la mnyonge halina thamani? Hapana Mungu huwa analiona.

Kwa nini Hugo Chavez na Hayati Magufuli waliliwe na wanyonge kiasi cha kushangaza dunia?

Mbona George Bush snr hakuliliwa na wanyonge?

Siasa zina mambo mengi sana. Ila mengi ni mabaya.View attachment 1777899View attachment 1777901
Pambana labda resurrection yaeza tokea!! Maandiko yanasemaje acha wafu wazikane maana maiti haina tena fahamu, bali tushughulike na yaliyohai na dio wafu.
 
Hittler mpaka leo hii anaungwa mkono Ujerumani na baadhi ya nchi za ulaya...wapo wanaomlilia pia...Idi Amin dada aliliwa na kuungwa mkono pia...Mobutu Seseko wapo waliomlilia na kumuunga mkono..., Samweli Do aliliwa pia...Pinocheti aliliwa na kuungwa mkono sana...
 
Sasa wewe ni mnyonge, we kibaraka wa Mbowe. Akikwapua pesa za Chadema lazima unufaike.

Ni kweli, hata hivyo Mbowe mwenyewe hanijui. Nasema hivi, endelea kunyeshea maua hapo kwenye kaburi la dhalimu fullstop.
 
Mnyonge ni mtu gani? Mnyonge ni mtu anaye nyimwa haki yake. Mnyonge ni mtu ambaye anakandamizwa na utawala akihangaika kulima, mazao yake yanaporwa, au anapangiwa bei ya kuuza, au anapangiwa sehemu ya kuuza. Hayuko huru kufanya kazi zake.

Mfanyakazi mnyonge hapandishwi mshahara. Anatumikishwa. Hana sauti, hawezi kudai haki. Hawezi kuchagua kiongozi anaye mpenda maana kura yake inaporwa. Eneo lake na nyumba yake inachukuliwa na serikali bila kulipwa fidia. Akifikwa na majanga ya asili kama matetemeko au mafuriko serikali haimpi msaada inasema siyo iliyoleta majanga.

Akilalamikia malipo ya choo anaambiwa akae na mavi yake.

Mnyonge hama sauti, hasikilizwi.

JPM alitengeneza wanyonge ili awe kiongozi wa wanyonge. Fundi mkuu akafanya yake.

Serious kiongozi yeyote anayeweza kujisifu kuwa ni kiongozi wa wanyonge anatakiwa akataliwe. Maana kiongozi mzuri anawatoa watu kwenye unyonge.
Truly, you nailed it!
 
Back
Top Bottom