"Tujisahihishe "


Void ab initio

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Messages
3,290
Likes
2,248
Points
280
Void ab initio

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2015
3,290 2,248 280
Mwalimu Nyerere aliwahi kufika mahali akakubali kuwa kuna makosa na mapungufu mbalimbali ndio maana akaandika kuwa "Tujisahihishe ".

Tangu Baada ya Uchaguzi kumekuwa na baadhi kushabikia kila kitu kinachofanywa na Mkuu wa nchi bila kujali kina faida au hasara kwasasa au kwa Baadaye ,kinazingatia Sheria au hakizingatii.

Sasa ili kuepuka kufika mahali ambapo tutakuwa tumeshakosea zaidi. Niombe tumkumbuke Hayati Mwalimu Nyerere kwa kujisahihisha kabla hatujakosea zaidi. Kwenye Ukweli na haki tusifie ila pale penye mapungufu tukosoe bila kujali itikadi. Hii itasaidia kusonga mbele bila majuto.

"Tujisahihishe"
 
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
9,526
Likes
8,924
Points
280
bigmind

bigmind

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
9,526 8,924 280
Hakika lazima tutakuwa na mapungufu hivyo tukubali kukosoana na kuvumiliana..
 

Forum statistics

Threads 1,237,188
Members 475,465
Posts 29,280,761