Tujipongeze kwa vikosi imara na vya nguvu vya jeshi la polisi

!
!
Naona kama tukio la mbagala jana usiku maeneo ya mbande kwenye bank ya crdb linaprove wrong post hii. Sijui lakini sina uhakika lakini, nasikia wameuwawa na kuporwa silaha.
 
Ndo kwanza matukio ya ujambazi yakifululiza vituo vya polisi vinafungwa saa moja jioni, kuna jamaa pia walishawahi kuingia kituo cha polisi wakaiba silaha..... Hawa ni waigizaji tu
kabla hata ya wino wako haujakauka majambazi wamefanya yao Mbagala.
 
Wala hujatofautiana na mimi, mi mwenyewe nashangaa hizi tambo barabarani wakati hata panya road kwa dar wanafanya wananchi wafunge milango saa moja jioni
Hawa panyaroad sijui kama watakwisha. Watu wanavamiwa hata sasa huko maeneo ya Ukonga, Kipunguni. Yaani shida.

Kaka ...
 
Nafiikiri kila mmoja ameshuhudia tambo na advertise za jeshi letu tukufu la polisi, binafsi nimeshangaa kuwa tuna jeshi imara lenye vikosi kila pembe ya nchi na silaha madhubuti! swali langu ni kwanini hivi vikosi uwa havijitokezi pale tunapovihitaji mfano katika sekeseke la panya road, uhalifu wa kutumia silaha, madawa ya kulevya, ugaidi kule amboni na matukio mengine ya aina hiyo? kinyume chake vikosi hivi vinajitokeza wakati wananchi wametulia na wanafanya kazi zao bila tatizo?
Hili jeshi nalo uchwara sana... Yale hayakua mazoezi ni mid games tu za kuwajambisha wana ukawa...
 
acha zako ww watupe silaha uone kama raia hawatawatafuta majambazi wenyewe na utambue walichofundishwa hao askari ni kupambana na kuzuia matukio haya, ndo kazi yao hawanakazi nyngine
 
Back
Top Bottom