Tujipeime kwa haya machache...

  • Thread starter chamilo nicolous
  • Start date

chamilo nicolous

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Messages
1,441
Likes
947
Points
280
chamilo nicolous

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2016
1,441 947 280
i. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja - Kwanini, baadhi ya vyama, ili upewe nafasi ya uwenyekiti lazima uwe umeoa kwenye familiya ya fulani?

ii. Nitaitumikia nchi yangu na binadamu wenzangu wote kwa unyenyekevu na moyo wa upendo na huruma - Kule kwa Mrombo mnawapiga wale wa upande wa pili? Kule pemba hatuingiliani kisa tunatofautiana kunyoosha vidole?

iii. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini, ujinga, magonjwa, na dhuluma hapa nchini na duniani pote - Tumebaki kutetea wenye pesa, wakidaiwa kodi hooo wananyanyaswa, wamekuwa makabaila, wakipunduziwa mashamba ooooh wanaonewa mmmmm?

iv. Rushwa ni adui wa haki, sitatatoa wala kupokea Rushwa - Ile list of shame ilisahaulika, na nikosa kuitaja, kwanini?

v. Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote - Hii ni home work.

vi. Nitashirikiana na wenzangu wote kuijenga nchi yetu na dunia yenye haki na amani - Wale wa MIGA, deep green tujipime

vii. Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko - Kwanini Spika na Waziri Mkuu atualike futari tena mwezi wa toba tusiendee, kwanini kwenye msiba upewe mkono ukatae, unawaza sawasawa?

viii. Nitakuwa raia mwema wa Tanzania, Afrika na Dunia nzima - Kwanini msilipe kodi

ix. Nitakuwa mtii kwa Rais na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Kwanini maneno ya kejeli, dharau na matusi kwa viongozi wa Serikali?
 
Masenu K Msuya

Masenu K Msuya

Verified Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
1,306
Likes
1,209
Points
280
Masenu K Msuya

Masenu K Msuya

Verified Member
Joined Jun 20, 2017
1,306 1,209 280
hahahaha tegemea matusi kutoka misukule na wanywa virobo wa bavicha
 
S

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Messages
3,963
Likes
4,160
Points
280
S

singojr

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2014
3,963 4,160 280
Ngoma limechacha nimekuja kukuambia tu wewe na zuzu mwenzako aliyecomment watz wanaakili. Hii hata jingalenu kaigome leo hupata hata jero ya bundle
 
Kambaku

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Messages
2,151
Likes
3,270
Points
280
Kambaku

Kambaku

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2011
2,151 3,270 280
Kwanza nidiklee interest mimi sina chama ni mtanzania kamili kwa kabila, kuzaliwa na uzalendo.

Kwanini vijana wa upande huu huwa hamna ubunifu mkuu? Wewe umetunga hii thread sababu kuna mtu asubuhi alianzisha ya kwake kumuuliza maswali mkulu na umetumia mtindo ule ule kuanzisha thread na wewe! Kwanini Chamilo?

Tuje kwenye mada yako, hayo maswali uliyotumia na kujijibu ni standard ya wapi? Umeamua kwa nini ndio yawe standard ya kujipimia?

. Unaposema binadamu wote ni sawa nchini Chamilo una uhakika mkuu? Kwa matukio yanavyotokea unaweza sema wakulima wa Bukoba na Wilaya ya hai wako sawa? Wananchi wa mwanza na Kimara wako sawa?

. Unaposema utawatumikia binadamu wenzako kwa unyeyekevu na upendo na huruma, ndio mnavyofanya huko kwenu mkuu? Ndio mnavyowatumikia watanzania kwa upendo na unyeyekevu mkuu?

. Unapozungumza Rushwa ni adui wa haki, Chamilo unaweza kumpandisha mtu cheo anayetuhumiwa na ushahidi upo wa rushwa?

. Unazungumzia elimu, mkuu elimu hii hii ya kina Bashite au unazungumzia elimu ipi mkuu?

. Umesema na kujipima kwenye kusema kweli daima, Chamilo are you serious upande wenu hamdanganyi tena kwa makusudi kabisa na kulidanganya taifa mara nyingi tu?

Nasikikitika sana wengi wa vijana siku hizi mmejaa mahaba na kujivika upofu kabisa. Mnatuchanganya sana sisi tusio na uvyama aisee.
 

Forum statistics

Threads 1,250,179
Members 481,248
Posts 29,723,322