Elections 2010 Tujiondoe CHADEMA

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua JK kama rais halali wa JMT na kumtambua DR.SLAA kama rais mteule wa JMT.
Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa CHADEMA. Ombi langu ni kuwataka wanachama wote tujivue uanachama endapo tu wabunge wa chama chetu watabakia ndani ya bunge na kumsikiliza Jua Kali leo.
Ninasema jujiondoe kwani watakuwa wametuuza na kupoteza kura zetu bila sababu ya msingi. Nina imani wabunge wetu hawatatuangusha leo. Mimi binafsi nitakuwa wa kwanza kumchukia kaka yangu wa ukweli Mbowe na my best rafiki Mnyika as well as my role model Tundu Lissu.
 
awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua jk kama rais halali wa jmt na kumtambua dr.slaa kama rais mteule wa jmt.
Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa chadema. Ombi langu ni kuwataka wanachama wote tujivue uanachama endapo tu wabunge wa chama chetu watabakia ndani ya bunge na kumsikiliza jua kali leo.
Ninasema jujiondoe kwani watakuwa wametuuza na kupoteza kura zetu bila sababu ya msingi. Nina imani wabunge wetu hawatatuangusha leo. Mimi binafsi nitakuwa wa kwanza kumchukia kaka yangu wa ukweli mbowe na my best rafiki mnyika as well as my role model tundu lissu.
tumeachagua wakawe wawakilishi wetu huko mjengoni. Sasa hawajaanza kazi tunataka kuanza kuwaingilia, na kuwapangia nini cha kufanya. Huo ndio utaratibu wa wapi?

Sisi wajibu wetu ni kutoa maoni yetu kama tulivyofanya. Kwa kuwa wao sasa ni full time parliamentalians wataangalia kanuni za bunge, sheria na hali halisi na kisha kuamua cha kufanya. Wakishafanya hivyo ni wajibu wetu kuwa na imani na uamuzi wao.
 
Leo unaweza kuwa mwisho wa JK na CCM kama kweli CHADEMA wataamua kuweka maslahi ya watanzania mbele, na naamini hilo litatokea na historia kuandikwa
 
tumeachagua wakawe wawakilishi wetu huko mjengoni. Sasa hawajaanza kazi tunataka kuanza kuwaingilia, na kuwapangia nini cha kufanya. Huo ndio utaratibu wa wapi?

Sisi wajibu wetu ni kutoa maoni yetu kama tulivyofanya. Kwa kuwa wao sasa ni full time parliamentalians wataangalia kanuni za bunge, sheria na hali halisi na kisha kuamua cha kufanya. Wakishafanya hivyo ni wajibu wetu kuwa na imani na uamuzi wao.

Jathropa, nilidhani wanatuwakilisha sisi na si wao binafsi. Je hili si la kwetu? Nani aliseme na wapi?
 
Mimi natafurahi sana kama watatoka wakati JK atakapo ingia. Lakini kama hawatatoka pia nitafurahi kwani mapambano ni lazima kuonana uso kwa uso. Naomba tuwe na subira mambo bado, huu ndiyo mwanzo tu.
 
Mapambano yote yatafanyika humo humo ndani

Mbona unabadilisha comments haraka sana, mara ya kwanza uliandika 'kwani tangu lini wewe ulikuwa chadema' umewaza tena na kuona la, kuna ka ukweli ndani yake. Chadema ili kiwe chama lazima watu watofautiane,angalau wewe umebadilika ghafla na kuamua kutuliza mambo. wale chadema mkumbo wangemtukana muanzisha hii maada, wanasahau kuwa mara nyingi waanzisha maada mwiba kwa wanachadema huwa wako wengi na the only way ni kurespond positively.

Chadema need to be careful, mwaka 2015 sio mbali tena! any move should be cautious
 
tumeachagua wakawe wawakilishi wetu huko mjengoni. Sasa hawajaanza kazi tunataka kuanza kuwaingilia, na kuwapangia nini cha kufanya. Huo ndio utaratibu wa wapi?

Sisi wajibu wetu ni kutoa maoni yetu kama tulivyofanya. Kwa kuwa wao sasa ni full time parliamentalians wataangalia kanuni za bunge, sheria na hali halisi na kisha kuamua cha kufanya. Wakishafanya hivyo ni wajibu wetu kuwa na imani na uamuzi wao.

nakuunga mkono.tuwaache waamue tusiwashinikize!binafsi nawaamini makamanda wetu.
 
Awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua JK kama rais halali wa JMT na kumtambua DR.SLAA kama rais mteule wa JMT.
Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa CHADEMA. Ombi langu ni kuwataka wanachama wote tujivue uanachama endapo tu wabunge wa chama chetu watabakia ndani ya bunge na kumsikiliza Jua Kali leo.
Ninasema jujiondoe kwani watakuwa wametuuza na kupoteza kura zetu bila sababu ya msingi. Nina imani wabunge wetu hawatatuangusha leo. Mimi binafsi nitakuwa wa kwanza kumchukia kaka yangu wa ukweli Mbowe na my best rafiki Mnyika as well as my role model Tundu Lissu.

Taratibu usije na maamuzi ya kutuvuruga zaidi au umetumwa!??
 
:nono: Tujiondoe CHADEMA?? Nani kasema?? :nono:

HATA MIMI NAKUUNGA MKONO, TUTAMKOMOA NANI, AU UNATAKA KUSEMA YALE MANENO YANAYOSEMWA CHADEMA NI YA WATU FULANI NI KWELI? BWANA KUTOKA HAPANA LABDA USEME TUWATOE WAO, NASEMA, 'NO' :nono:
 
HAKA MIMI SITOKI MPAKA NIONE UKOMBOZI WA MWISHO WA HII NCHI:nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
Taratibu usije na maamuzi ya kutuvuruga zaidi au umetumwa!??

Fuatilia nimeingia lini JF na wewe umeingia lini hadi nitumwe. Pia fuatilia Comment zangu zote kisha uje usome tena hii thread huenda utaelewa japo kidogo ninamanisha kitu gani. Look for the content please!
 
Twakuelewa Isaack,ila nakuomba usijitoe kwa kushinikiza wazo lako. Tuwe na tolerance kwa maamuzi ya Chama. Vyovyote chadema itakavoamua ni vema. Sometimes tusubiri tuone ila na mimi nilitaman watoke nje wakati mkwere anamwaga pumba kabla ya kuanza kunywa mimaji akijiandaa kuanguka.
 
nimeonge na zito mda mfupi uliopita(0713730256) na amethibisha kuwa hawataingia humo ndan
 
nimeonge na zito mda mfupi uliopita(0713730256) na amethibisha kuwa hawataingia humo ndan

mpaka sasa ameingia lema wa arusha,lissu pamoja na mbowe. Unawaona kaka? Wapo ndani.
 
Back
Top Bottom