king Davidson
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 252
- 1,063
Umenena vyema kabisa ukiwa na misimamo yako tu hawa watu wapo tayari kukumaliza,,, inaumiza sana nimeiona hiyo video nimesikitika sana na mwenendo wa taifa hiliNamkumbuka sana Alshababu "Mabirika Mawazo" na dada yangu Alshabibi "Helena Mushi" enzi hizo udsm na kilichowatokea...
Serikali ya fisiemu na vibaraka wao ndani ya management ya udsm walipoteza ndoto za vijana hawa na wengine waliokuwa wanatetea haki za msingi.
ulipiga mswaki asubuhi? acha kujitoa ufahamuNi serikali isiyo na ubabe hapa duniani ama ni kwa vile mmeishia kuitazama Tz tu? Bongo muvi pekee Akiri yenu itadumaa
We Zombie kichwa cha naziNi serikali isiyo na ubabe hapa duniani ama ni kwa vile mmeishia kuitazama Tz tu? Bongo muvi pekee Akiri yenu itadumaa
Hahaha nimecheka picha ya hicho kichwa naziWe Zombie kichwa cha nazi
View attachment 469245
Watu tuna akili zetu wewe kaa na hiyo akiri yako ambayo haipo hata kwenye kamusi.
We muhaya kweli kichwa nazi sijapata kuona... ptuuhNi serikali isiyo na ubabe hapa duniani ama ni kwa vile mmeishia kuitazama Tz tu? Bongo muvi pekee Akiri yenu itadumaa