Tujikumbushe Wabunge na Mawaziri waliokufa tangu JK awe madarakani

Madodi

Senior Member
Apr 10, 2011
176
58
naona kila siku viongozi wetu wanaaga dunia tujikumbushe baadhi ya viongoz waliotutoka tangu baba mwanaasha awe prezda..mi nikianza na Juma Akukweti...endelea na wengne
 
Yule Jamaa wa Tucta alikua analifatilia sana swala trc akawa anawaka sana kuwatetea wafanyakazi wa trc,kesho yake walikua na kikao ikulu asubuhi katengewa uji na mkewe baada ya kumaliza tu akadondoka akavuta,sijui jamaa anaitwaje nshamsahau!
 
Back
Top Bottom