Tujikumbushe tulikotoka kuhusu JF

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Ndugu mwanajamii mimi binafsi nimeifahamu jf kupitia kwa rafiki yangu mwakajana kipindi cha campeni akanitonya magamba walivyokuwa wakijipanga kuchakachua kura, niliifuatiria sana tangia hapo. Tukio ambalo sitolisahau kikao walichokaa jk, r1 na mkurugenzi wa mwanza na wengine wengi siwakumbuki. Lakini hili ndo tukio pekee lilonifanya niipende jf na baadaye kuamua kujiunga rasmi December mwakajana. Je wewe uliifahamu vp na nini kilikuimpress. Changia please
 
mkuu....karibu sana JF.......kuhusu mada yako....kuna thread ilishatoka humu kuelezea wapi members walikutana na JF.....hebu search unaweza ukapata mengi huko....
 
Back
Top Bottom