TUJIKUMBUSHE: Siku Mahakama ya Tanzania ilipotoa hukumu saa 8 usiku!

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Wadau, mwaka 2008 Mahakama ya Kazi ilitoa hukumu dhidi ya mgomo wa Waalimu kupitia CWT saa 8 usiku! Hiyo ilikuwa historia ya pekee nchini mwetu.

Leo huku Arusha, inasemekana Mahakama imegoma kutoa hati ya kuachiwa kwa dhamana Mbunge wa Arusha, Mh Lema hadi wiki ijayo! Ikumbukwe kuwa dhamana ilikuwa wazi tangu wiki ilopita.

Najiuliza, hivi Mahakama zinafanya kazi kwa manufaa ya nani? Hivi ni kweli Mahakama zetu zinafanya kazi kwa mujibu wa sheria au kwa mujibu wa matakwa ya kundi fulani?
 
Mmmh ndio maana tunaupigia kura Mlima Kilimanjaro uingie kwenye maajabu ya dunia ili na sisi pia tuingizwe kwenye maajabu saba ya dunia
 
Back
Top Bottom