Tujikumbushe sakata la Loliondo Gate lililopelekea mwandishi kupoteza maisha

Wenye Taarifa Wazilete Haraka Kabla February Kwisha Hakuna Namna Inabidi Kurejea Nyuma Kuweka Kumbuka Sawa
 
Stan Katabalo ndio Mwandishi bora kuwahi kutokea Tanzania mimi nilielewa sakata zima la Loliondo kupitia yeye Mungu amlaze Mahari Pema ni Mzalendo wa kweli na si hawa tunaowasikia sasa...
 
Umenikumbusha mbali. Nilikuwa skonga, gazeti la Mfanyakazi lilijitolea mhanga kuruhusu habari Loliondo gate kwenye matoleo yake. Kipindi hicho Moshi Sec(Old Moshi), tulikuwa tunatumia library ya Chuo cha Ushirika hasa kusoma magazeti. Kama kuna anayeweza kuchapisha aliyoandka Stan kuhusu Loliondo,tafadhali afanye hivyo.
 
Hii story natamnigi niipate ukweli wote but naona kama watu hawanyumbuluki vyote
 
Back
Top Bottom