Tujikumbushe: Sababu za Marekani kumuua Col Ghadafi

Hii ilitokea wakati Dimitri Medvedev ndiye Rais wa Russia.

Kama Putin angelikuwa Rais kipindi icho, angelifanya kama ambavyo anafanya Syria.

Na ndio maana Putin alitoka comment hii baada ya hiyo Resolution kupita

"Medvedev is responsible for foreign policy as president and that "there can be no division there".

Hata Chamov ambaye alikuwa Russian ambassador to Libya alituma Telegram Kremlin na kwenye hiyo Telegram alisema kuwa Medvedev ni Traitor.
 
Kwa hali ilivyo maslahi ya marekani yapo salama? Sababu nchi imejaa vikundi vya waasi kila kona.

Threat ilikua ni one currency,wangeitafuta sana ili wanunue rasilimali zetu na kuiongezea value hiyo dinar na dola inge depriciate.Hii ingewainua Waafrika sana na dezo dezo ingeisha

Na attach video inafika 90% inagoma.
jaribu kuweka link ya video ,mkuu, kama inawezekana
 
Wng wa viongozi wa Afrika cwapendi ni madikteta lkn huyu gadafi alikuwa a good dictator ningekuwa raia wa libya nisingeunga mkono aondoshwe hadi mahari unapewa ili uowe,katu hamuwezi kumlinganisha huyu na madictator wa wngn afrika km huyu bwana hapa kazi tuu,hata mlo mmoja tabu alafu mtu unamsupport mtu km huyu,hatuna hakika na mwengine anaetaka tumchague lkn tunahope kwa kuwa tu hatukuridhika hali iliyopo tuache kung'ang'ania tawala mbovu tuombe mungu upate mwngn,GADAFF HAFANANI KABISAA MTUKUFU RAIS WETU ni km mcha mungu na muasi wa mungu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm ni mpinzani na ckumpigia kura huyu mh wetu,lkn nilimpenda sn awali lkn baadae nilimtoa maanani kwa uamuzi wk wa kufuta shughuli za siasa zisiende icpokuwa siasa ya ccm chama chake huu ni UDIKTETA
Anakopi na kupest kutoka kwa jambazi kagame.

Silipendi jambazi lile ndo lililomuharibu rais wetu alipotembelea mwanzo kabisa mwa utawala wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani NATO iingie zanzibar ikiondoe hchi kiditeta uchuro shein na wavunjilie mbali muungano tanganyika izaliwe upya chini utawala mpya na znz iwe sovereign state,kisha tanganyika na znz ziwe na shirikisho mfano wa EAC basi ucwepo huu muungano wa aina hii hatufanani geographical,cultural,economical and political,we are different to join as one entity
Mkuu amka kumekucha we bado umelala tu ndo maana bado unaota ndoto za uharo tu...amka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani NATO iingie zanzibar ikiondoe hchi kiditeta uchuro shein na wavunjilie mbali muungano tanganyika izaliwe upya chini utawala mpya na znz iwe sovereign state,kisha tanganyika na znz ziwe na shirikisho mfano wa EAC basi ucwepo huu muungano wa aina hii hatufanani geographical,cultural,economical and political,we are different to join as one entity
Wanyamwezi walipelekwa Zanzibar wakiwa watumwa sasa hivi wanasema hawafanani na watu wa bara kwa chochote. Hata sisi hatuutaki pia muungano kaunganeni na waarabu ambao mnafikiri watawasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je, ni kwel about 80% ya walibya walimsapoti Ghadaf wakati zengwe linaanza na inaishia anauawa akiwa na sapoti ya 20% tu?? Ni upi mchango wa AU katika hili hadi anauawa ikiwa aliipigania sana AU yetu?? Maraisi wa Africa walikuwa wapi wakati haya yote yanaendelea kule Libya?? Obama aliingia madarakani Africa ikashangilia tukisema msemo wa babu Martin Luther Jr "I have a dream today....." imetimia, je kuna lolote la Africa kujivunia kwa uwepo wa kipindi chote cha Obama?? Au ndo tulishangilia sabb tulijua ile sera ya USA ya "AGOA" ndo inaenda kufikiwa?? Nisaidieni ndugu katika hili
 
Natamani NATO iingie zanzibar ikiondoe hchi kiditeta uchuro shein na wavunjilie mbali muungano tanganyika izaliwe upya chini utawala mpya na znz iwe sovereign state,kisha tanganyika na znz ziwe na shirikisho mfano wa EAC basi ucwepo huu muungano wa aina hii hatufanani geographical,cultural,economical and political,we are different to join as one entity
Mungu akuone maana hujui ulisemalo
 
Nlidhani utaandika kama intellectual. Umekuja kuandika kama mwanamke anayemshushua mwenzie.very hopeless.



Vikosi vya NATO vilimuondoa madarakani kwa nguvu za kijeshi kwa madai kua alikua anawaua wananchi wake kwa kuwashambulia kwa ndege,mmmh!

Hivi wao ni wasafi na wana uchungu sana na bara Afrika na mustakabali wake?Hapana.

Col Ghadafi alipanga kuanzisha sarafu moja kwa Africa Nzima na ndugu zake wa Arabia.African Dinar ilikua ije kua mbadala wa dola ya Marekani.Dinar ingekua imelengeshwa na Gold( thamani yake kutegemea dhahabu).

Hili jambo lingewafanya mataifa makubwa yenye kiu na rasilimali za Afrika na Arabia( mafuta,madini,mazao etc) kuitafuta hii Dinar na mwisho wa siku kuishusha nguvu dola na nduguze na kuinua Dinar kama sarafu ya Dunia.

Mtu yeyote atakae cheza na maslahi yao , lazima aondoshwe kwa gharama yoyotw ile.Halafu meneja wa kiwanda Obama akisema anajutia kumuondoa Ghadafi,aseme tu wazi kua wamiliki wa kiwanda hawakupenda mpango wa Ghadafi.
 
Back
Top Bottom