Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

Leah_dully
aminia_fa
mwanafalsafa_fa
cheza kwa step_jmoe
mkuki moyoni_baba tunda
show time_fa
mabinti_ea
mikononi mwa polisi_sugu
rahisa_tid ft fa
zamani_qchief ft jd
machozi_jd.
 
Kuna ile ya kuitwa Penzi kikohozi,ilikuwa ni balaa jingine kabisa (nahisi hii haitokuwepo upande wa bongo flavor).
Ila Fresh Jumbe alikuwa noma sana.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Hahahahhhh. Poa, ila ni kuanzia jumatatu next week.

Naweka reminder, hizi kitu ni muhimu sana kwa kumbu kumbu, make hawa watoto siku hizi wameharibu muziki kabisa. Tumebaki na watu wachache sana kama Fid Q.
 
'Hapo zaman hapo zaman,mambo mengi yalikua safii,kinyume na sasa kinyume na sasa mambo mengi yamebadilikaaa'-ni mistari aloimba King Kikii ambapo alishirikishwa na SUGU,kwenye albam hii ndo sugu alijiita aka bwana mkubwa kwenye sehem ya nyimbo zake,in early 2000s
 
Naweka reminder, hizi kitu ni muhimu sana kwa kumbu kumbu, make hawa watoto siku hizi wameharibu muziki kabisa. Tumebaki na watu wachache sana kama Fid Q.
Umeona eeh? Nyie mnawasifu akina Vanesa Mdee, Mwasiti, Dayna nk ilhali kuna akina Zay B, Sister P, Lady Lu, Dataz, V2, Stara, Dah Jo kutoka Kigamboni na wengineo walioitoa bongo fleva mbali kabisa kabla ya hapa ilipo! Acheni utani bana!
 
Huo wimbo ni wa jamaa flani wanaitwa Waswahili, nao sijajua walipotelea wapi. Ninao, ukipigwa hata leo redioni utadhani umeimbwa jana. Walikuwa vichwa sana.

Uko vizuri kwenye hii nyanja mzee mwenzangu!!! Salute kwako
 
dah amri kumi ilikua ni hatari sana! Na kitu cha kosa la marehemu dada hakuvaa kondomu hakuvaa kondomu....ufwile mundu gwa kyala umelala nyumba ya giza bila kusita......ungelikua mwaminifu mwangalifu ungejijali lakini sasa tunakuchimbia futi sita tunakuzikaa

Wanakwambia hivi,"Kungelikuwa na spare sq mwili,so kazi tungelikwenda msimbazi,madilu au nini sijui"...daaah
Za kale dhahabu ama kwa hakika.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Uko vizuri kwenye hii nyanja mzee mwenzangu!!! Salute kwako

We acha tu ndugu, hawa Wahindi wanyonyaji akina GMC ndio wamewakimbiza hawa vijana sokoni, saa hizi tumebakiwa na hawa wabana pua tu. Jiulize, akina Soggy, Adili, Wagosi, Mr Paul, Balozi, Solo, dudubaya na wengineo kwa nini wamesepa?
 
pengo- waswahili, kosa la marehem hakuvaa condom, nje nje nje ndan- gangwe mob, nikupe nn mpenz, mandojo % domokaya
 
Umeona eeh? Nyie mnawasifu akina Vanesa Mdee, Mwasiti, Dayna nk ilhali kuna akina Zay B, Sister P, Lady Lu, Dataz, V2, Stara, Dah Jo kutoka Kigamboni na wengineo walioitoa bongo fleva mbali kabisa kabla ya hapa ilipo! Acheni utani bana!

Kuna wimbo wa Si ulileta nyodo, demu gani kukupata mpaka nikupe jojo (huu ni Dah Jo au?).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom