Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

Bongo fleva si mziki bali ni ujinga tu....ukitaka nyimbo kali za bongo ni kwenye bendi. Sikiliza tungo za Msondo, Twanga, FM Academia, Nginde, na bendi zinginezo....bongo fleva ni miyeyusho tu.
Mapenzi binafsi ya kitu fulani yasifiche busara yako, dunia ni kubwa na kila mtu ana starehe zake
 
Au haya mashairi ni ya wimbo gani!!?;-
Yokomoko mtu mmoko. ukizubaa kitendo.. kwa tarifa yako kitu kibolibo mnala..mkangafu ngalangala...mandumba ya kujifukizia mandumba ya kupalata.....nyanga skento dusko ..jadi kisago walumendago.

Ngangali mwaka 2001 Gangwe mob
 
kama kuna mwenye wimbo wa pain in me wa Emmanuel Nkulila please naomba antumie humu
 
Gangwe Mobb sikuhizi wanaringaaa, wanapiga pamba kama Sebastian Maganga au John Dilingaaaa......


Gangwe Mobb ft Nasma Hamis Kidogo

(kwakweli ukitaja wasanii/makundi yaliyohit kipindi cha mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 bila kuwataja Gangwe Mobb unakuwa umetenda dhambi kubwa ya kiburudani)
Wapi monduli mobb
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom