Tujikumbushe Mzee Jecha wa ZEC

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,196
Ama hakika dunuani kuna mambo.

Mzee wetu Jecha alishindwa kabisa kujieleza mbele ya waandishi wa habari.

Hivi hili tatizo inawezekana likawa nini haswa?

Tafadhalini jamani mwenye uelewa atujulishe maana elimu haina mwisho.
 
Mzee alipindua meza, bado akataka na yeye aingie ndani kuusaka urais!
 
Back
Top Bottom