50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 3,875
- 3,730
Nasikia Tanganyika is the deepest in the world.
Ni namba moja ama namba mbili. Sababu ni kuwa lilizaliwa kwenye bonde la ufa wanaita Rift Valley lake.
Nasikia Tanganyika is the deepest in the world.
Ile meli pamoja na mistake iliyofanyika ya kujaza watu judgement ilionyesha hakuna ushahidi wa wazi ulioonyesha kwamba kulikuwa na uzembe pia hata shirika la reli enzi hizo halikuwa na orodha kamili ya abiria waliopanda meli hiyo. Pia kwa upande mwingine hiyo meli ilikuwa ina shida ya balance ikiwa inaelea na ndio maana iliweza kusafiri kutoka Bukoba mpaka inakaribia Mwanza ndio ikazama kutokana na watu wameamka na kuanza movement ikapelekea kuegemea upande mmoja (mara nyingi wasafiri hupenda kukaa upande mmoja na kuwa wanaangalia jiji la Mwanza wakati inakaribia kufika.Mkuu mawakili wa serikali ni tatizo....
Yani makosa 159 lakini wakashindwa kuwapata na hatia...
Too bad, huyo Feleshi aliyekua anaendesha iyo kesi ndo akaja kua DPP!
Sasa hivi ni Jaji Kiongozi...so unaweza kuona system ilivooza
Enzi hizo ilikuwepo Mobitel ilibadilika ikawa Buzz kabla ya kuwa Tigo sasa hivi, enzi ilikuwa inachuana na Tritel (ambapo baadae Tritel alifulia akaondoka baada ya miaka 4 baadae ikaja Vodacom). TIGO ndo wahenga katika kutoa huduma za simu za mkononi Tanzania.Walipigiwa simu tokea wapi mkuu!???na kampuni gani!??ilikua 1996,21 May Kumbuka!!
Mkuu upo sahihi kabisa, ulichokiandika ndicho kilicho kwenye Ripoti ya ajali ya Mv Bukoba. Tatizo kubwa lilikuwa stability, utaratibu wa kutojua idadi ya sahihi na hakukuwa na rejesta ya abiria.Ile meli pamoja na mistake iliyofanyika ya kujaza watu judgement ilionyesha hakuna ushahidi wa wazi ulioonyesha kwamba kulikuwa na uzembe pia hata shirika la reli enzi hizo halikuwa na orodha kamili ya abiria waliopanda meli hiyo. Pia kwa upande mwingine hiyo meli ilikuwa ina shida ya balance ikiwa inaelea na ndio maana iliweza kusafiri kutoka Bukoba mpaka inakaribia Mwanza ndio ikazama kutokana na watu wameamka na kuanza movement ikapelekea kuegemea upande mmoja (mara nyingi wasafiri hupenda kukaa upande mmoja na kuwa wanaangalia jiji la Mwanza wakati inakaribia kufika.
Kupitia ajali hii ilipelekea kuifanyia marekebisho meli nyingine inafanana na Mv Bukoba ambayo ipo Lake Tanganyika inaitwa Mv Mwongozo ambayo nayo ilikuwa ina shida ya balance na zotehi zilitengenezwa na kampuni moja
Sasa hii inakuaje,maana ki uhalisia wahusika wa meli walipaswa kujua idadi ya waliongia ndani ya meli na kama hawakuwa na idadi basi huo ni uzembe na ni kosa la kumfunga mtu sijajua wahusika walichomokaje!!!! Anyway ishatokea mimi nani nipinge ni mawazo tu kuonesha urasimu uliopo kwa watoa haki.Ile meli pamoja na mistake iliyofanyika ya kujaza watu judgement ilionyesha hakuna ushahidi wa wazi ulioonyesha kwamba kulikuwa na uzembe pia hata shirika la reli enzi hizo halikuwa na orodha kamili ya abiria waliopanda meli hiyo. Pia kwa upande mwingine hiyo meli ilikuwa ina shida ya balance ikiwa inaelea na ndio maana iliweza kusafiri kutoka Bukoba mpaka inakaribia Mwanza ndio ikazama kutokana na watu wameamka na kuanza movement ikapelekea kuegemea upande mmoja (mara nyingi wasafiri hupenda kukaa upande mmoja na kuwa wanaangalia jiji la Mwanza wakati inakaribia kufika.
Kupitia ajali hii ilipelekea kuifanyia marekebisho meli nyingine inafanana na Mv Bukoba ambayo ipo Lake Tanganyika inaitwa Mv Mwongozo ambayo nayo ilikuwa ina shida ya balance na zote zilitengenezwa na kampuni moja
Mkuu kabla ya meli kuondoka siku hiyo watu wengi walikuwa wamekata tiketi na wengine walilazimisha kwenda Kemondo.Sasa hii inakuaje,maana ki uhalisia wahusika wa meli walipaswa kujua idadi ya waliongia ndani ya meli na kama hawakuwa na idadi basi huo ni uzembe na ni kosa la kumfunga mtu sijajua wahusika walichomokaje!!!! Anyway ishatokea mimi nani nipinge ni mawazo tu kuonesha urasimu uliopo kwa watoa haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa tupo ana kwa ana ningekupa point ambazo ungekubali kuwa ni hukumu sahihi.Sasa hii inakuaje,maana ki uhalisia wahusika wa meli walipaswa kujua idadi ya waliongia ndani ya meli na kama hawakuwa na idadi basi huo ni uzembe na ni kosa la kumfunga mtu sijajua wahusika walichomokaje!!!! Anyway ishatokea mimi nani nipinge ni mawazo tu kuonesha urasimu uliopo kwa watoa haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli upo sahihi lilishapita hilo, of course kwa kutokosekana regester ya abiria hapo ilikuwa ni system yote Shirika la Reli kitengo cha meli maana sio hiyo tu hata sehemu nyingine hali ilikuwa hivyo, from there ndio wakaanza kuandika majina. Hii iliwahi pia kutokea hata kwenye train baada ya ajali nao utaratibu ukabadilikaSasa hii inakuaje,maana ki uhalisia wahusika wa meli walipaswa kujua idadi ya waliongia ndani ya meli na kama hawakuwa na idadi basi huo ni uzembe na ni kosa la kumfunga mtu sijajua wahusika walichomokaje!!!! Anyway ishatokea mimi nani nipinge ni mawazo tu kuonesha urasimu uliopo kwa watoa haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Mwamba hukuoa huyo mchumba?Dah! hii meli ilichukua maisha ya baba wa mchumba wangu wa utotoni mwisho akahama hadi shule!!
Ndugu inasikitisha sana ajali zingine zinazuilika ila uzembe wa watu wachache umegharimu maisha ya watanzania wengi na mwisho wa siku wazembe hao wanaachwa eti hakuna ushahidi wa kuwatia hatiani!!!!Ni kweli upo sahihi lilishapita hilo, of course kwa kutokosekana regester ya abiria hapo ilikuwa ni system yote Shirika la Reli kitengo cha meli maana sio hiyo tu hata sehemu nyingine hali ilikuwa hivyo, from there ndio wakaanza kuandika majina. Hii iliwahi pia kutokea hata kwenye train baada ya ajali nao utaratibu ukabadilika
Fanya kosa wewe hata kama kosa halina kifungu cha sheria cha kukutia hatiani, utatafutiwa kifungu mbadalaNdugu inasikitisha sana ajali zingine zinazuilika ila uzembe wa watu wachache umegharimu maisha ya watanzania wengi na mwisho wa siku wazembe hao wanaachwa eti hakuna ushahidi wa kuwatia hatiani!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisoma wapi taarifa za hiyo hukumu Tempus Fugit ?? Tafadhali share link kama unaikimbuka.🙏🏾🙏🏾🙏🏾Nilikuja kufahamu kiundani kilichotokea siku ya ajali ya meli hii pale niliposoma hukumu ya walioshitakiwa kusababisha ajali hiyo. Miongoni mwao alikuwemo captain..
Mashahidi waliotoa ushahidi mahakamani walinipa picha kamili ya kile kilichotokea. Lilikuwa janga kubwa sana.