Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

Nimemiss sana movies za Kihindi. Wapenzi tuungane hapa tukumbushie na kuhadithiana wapendwa.
 
Disco dancer
Kasampaida
Koyla
Jagira
Commando mithuni
Vishwatima
Tridev
Dilwale
Sapoti
Gangaajumana
Shaensha
Mard
amnesamne
Kuchikuchihotae
Kabikushikabigam
Kanoon
Duh hii zipo nyingi japo sikuizi nimeacha katika mastaa nampenda kajol na preity zinta
 
  • Thanks
Reactions: arl
Shola aur shabnam
Balwan
Jaan dushman

Chief mtoto wa maskini amemaliza zote za zamani kali kali
 
1475339947608.jpg
 
*Bhajrang Bhaijaan..Salman
*Ghajini..Amer Khan
*Koi Mil Gaya..Hrithik Roshan
*Dilwale Dulhania Lejayenge..Shah rukh khan
 
Tafuta my name is khan, 3 idiots, slumdog millionaire malizia na life of pi
 
Disco dancer
Kasampaida
Koyla
Jagira
Commando mithuni
Vishwatima
Tridev
Dilwale
Sapoti
Gangaajumana
Shaensha
Mard
amnesamne
Kuchikuchihotae
Kabikushikabigam
Kanoon
Duh hii zipo nyingi japo sikuizi nimeacha katika mastaa nampenda kajol na preity zinta
Ptety zinta alifanya movie moja na shahurkan inaiitwa Kal ho na ho..inanitoaga machozi hadi hii leo
 
Drishyaam ya Ajay Devgan

Ni muvi kali kinyama. Ngoja niwape trela yake.

Ajay aliacha shule hajafika hata form4 ikabidi ajiajiri akafungua tv cable katika huo mji wao na kuendesha maisha yake na familia yake ya mke na watoto wawili wa kike mmoja akisoma chuo mwingine elementary.

Ajay ni mtu anapenda kutazama muvi hiyo inamfanya hadi wakati mwingine kuchelewa nyumbani au kurudi asubuhi kabisa.

Kuna kijana wa kiume mtoto wa IGP wa polisi alikuwa akisoma na mtoto wa ajay.kuna siku mtoto wa ajay aliingia bafuni kumbe yule dogo katega kamera ili aitumie hiyo video kwa kumtisha mtoto wa ajay afanye nae mapenzi!

Kiburi cha mtoto wa IGP kikampeleka hadi kwa ajay ndani na kutaka kumbaka yule mtoto kilichotokea ni bahati mbaya yule mtoto akapigwa kichwani akafa!

Usiku sana Ajay anarudi na kukuta huo mkasa wa kuuliwa mtoto wa igp na kuzikwa uwani kwake.

Hapo ndipo anaposolve hiyo crime kwa kutumia mifano ya muvi alizokuwa akiangalia na kufanikiwa ingawa wote yeye na watoto wake na mke walikula kichapo cha haja
 
Drishyaam ya ajay devgan ni muvi kali kinyama.ngoja niwape trela yake.

Ajay aliacha shule hajafika hata form4 ikabidi ajiajiri akafungua tv cable katika huo mji wao na kuendesha maisha yake na familia yake ya mke na watoto wawili wa kike mmoja akisoma chuo mwingine elementary.

Ajay ni mtu anapenda kutazama muvi hiyo inamfanya hadi wakati mwingine kuchelewa nyumbani au kurudi asubuhi kabisa.

Kuna kijana wa kiume mtoto wa IGP wa polisi alikuwa akisoma na mtoto wa ajay.kuna siku mtoto wa ajay aliingia bafuni kumbe yule dogo katega kamera ili aitumie hiyo video kwa kumtisha mtoto wa ajay afanye nae mapenzi!

Kiburi cha mtoto wa IGP kikampeleka hadi kwa ajay ndani na kutaka kumbaka yule mtoto kilichotokea ni bahati mbaya yule mtoto akapigwa kichwani akafa!

Usiku sana ajay anarudi na kukuta huo mkasa wa kuuliwa mtoto wa igp na kuzikwa uwani kwake.

Hapo ndipo anaposolve hiyo crime kwa kutumia mifano ya muvi alizokuwa akiangalia na kufanikiwa ingawa wote yeye na watoto wake na mke walikula kichapo cha haja

Hii movie ilivyotoka nakumbuka nilikuwa India wali I advertise balaa.nikaamua kwenda cinema nilivyoenda nimeuliza kama kuna subtitle wakaniambia hamna only in Hindi. Ikanibidi nisiione.ingawa kuna wabongo wengine movie ya kihindi wakiiangalia wanaitafsiri kwa kiswahili sawasawa.wanaelewa.zamani nilikuwa mpenzi sana wa hizi movie baada ya kuiona baazigar ya sharukhan ila sio sasa.
 
  • Thanks
Reactions: arl
Back
Top Bottom