Kwa Wapenzi wa Filamu za Kihindi (Bollywood Films)

yaanih huyo bibi ingia you tube. Tafuta most popular songs of her
usikilize. Kuna filam za kihindi ni classic, hasa za amitabh bachan za zamani


Will do. Niambie ipi ya karibuni ushaangalia. E.g. alotoa Viper hapo Juu. Dah! kwa kweli personally haikunivutia (hio yenyewe jamaa kavaa miwani)
 
Will do... Niambie ipi ya karibuni ushaangalia... E.g. alotoa Viper hapo Juu
dah! kwa kweli personally haikunivutia...(hio yenyewe jamaa kavaa miwani)

Hizi za siku hizi nasau majina. Wewe je ipi kali za siku hizi?
 
hizi za siku hizi
nasau majina
wewe je ipi kali za siku hizi????


  • Salam Ishiq..
  • Jodha Akbar..
  • Umrao jao..
  • Salama Namaste..
  • Woh Lamhe...
  • Love Akjaal...
  • Tara rum..
  • Kisna..
  • Kushi..
  • Kuch na kahoo..
  • Kabhi alvida naa Kehna...
  • Sakar Raj 1&2...
  • Slumdog Millionaire...
  • Veer...
  • Muhste dosti karogue...
Nimechoka kukumbuka majina bana... hizo hapo za tosha kwa sasa...

 
Ana macho mazuri, lakini kiujumla hamfikii uzuri Anti Ezekiel wa wa Kanumbawood!
 
Haya mambo ya wadosi yamenikalia kushoto kabisa sijui kwanini huwa siwa-feel kabisa.
 
  • Salam Ishiq..
  • Jodha Akbar..
  • Umrao jao..
  • Salama Namaste..
  • Woh Lamhe...
  • Love Akjaal...
  • Tara rum..
  • Kisna..
  • Kushi..
  • Kuch na kahoo..
  • Kabhi alvida naa Kehna...
  • Sakar Raj 1&2...
  • Slumdog Millionaire...
  • Veer...
  • Muhste dosti karogue...
Nimechoka kukumbuka majina bana... hizo hapo za tosha kwa sasa...


kuna movie mpya ya amir khan 2008 inaitwa ghajini itafute dah inaweza ikakutoa chozi




mpya ya 2010 - 2011 kuna 3 ****** funny movie -



muna bhai mbbs



My name is khan



robot REALEASED 2010

 
Last edited by a moderator:
kuna movie mpya ya amir khan 2008 inaitwa ghajini itafute dah inaweza ikakutoa chozi




mpya ya 2010 - 2011 kuna 3 ****** funny movie -



muna bhai mbbs



My name is khan



robot REALEASED 2010



Viper i have seen all the above movies katika hizo trailer but not watched them
mpaka mwisho except for My name is Khan, Pamoja na kusema nampenda Aish...
sikupenda kabisa hio picha ya Robot, wahindi hizi picha wanachakachua tu..
they should stick to romance and minimum action...My name is Khana dah...
kusema kweli very inspiring but inatia uvivu...

The above three except number moja ni comedy, i have them in collections
but i can never stand an Indian comedy for they over do it.

The first is good... But not wow... good, wahindi Viper nawapenda kwa Romance...
 
Last edited by a moderator:
Viper i have seen all the above movies katika hizo trailer but not watched them
mpaka mwisho except for My name is Khan, Pamoja na kusema nampenda Aish...
sikupenda kabisa hio picha ya Robot, wahindi hizi picha wanachakachua tu..
they should stick to romance and minimum action...My name is Khana dah...
kusema kweli very inspiring but inatia uvivu...

The above three except number moja ni comedy, i have them in collections
but i can never stand an Indian comedy for they over do it.

The first is good... But not wow... good, wahindi Viper nawapenda kwa Romance...

Basi my All time best Romantic Movies kwanza kabisa all Sharukh movies ... others

Veer Zaara - A love story of how a man is willing to sacrifice his life and spend 22 years in prison to protect his Pakistani love.



Kabhi Kabhi - inahusu mambo ya kulazimisha ndoa ndani utakutana na kina Amitabh Bacchan & Sadhna Sargam





Kuch Kuch Hota Hai - (say that you love me) hii movie kila mtu anaijua



Bobby - ilichezwa na Rishi Kapoor and Dimple Kapadia falling in love



Awara - wapenzi wawili ambao ni victmis of circumstances seperated at childhood




Maine Pyar Kiya - pale urafiki unapogeuka kuwa mapenzi ndani utamkuta salman khan



Dilwale Dulhania Le Jayenge - hii imechezwa na sharukhan na kajol aihitaji maelezo maana wanapokuta hawa wawili movie lazima iwe nomah



Mughal-e-Azam - hii itafute a story between a prince and a court-dancer wanasema hii movie imechukuwa miaka 10 mpaka inamalizwa ni ya kitambo kiasi kwamba 1st version yake ipo black & white



[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif][/FONT][FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
[/FONT]
 
Last edited by a moderator:
asha dii na kama kweli mtu napenda movie za kihindi za love story akatazme hyo khabi alvida naa heena mhh hyo movie nzuri sana kila nikiitaza nashangaa y nalia..
  • Salam Ishiq..
  • Jodha Akbar..
  • Umrao jao..
  • Salama Namaste..
  • Woh Lamhe...
  • Love Akjaal...
  • Tara rum..
  • Kisna..
  • Kushi..
  • Kuch na kahoo..
  • Kabhi alvida naa Kehna...
  • Sakar Raj 1&2...
  • Slumdog Millionaire...
  • Veer...
  • Muhste dosti karogue...
Nimechoka kukumbuka majina bana... hizo hapo za tosha kwa sasa...

 
aishwarya rai

she is called the most beautiful woman in the world

aishwarya-rai-wallpaper-2.jpg



aishwarya-rai-wallpaper-108.jpg


Aishwarya+Rai_+2.jpg


aishwarya+rai+husband+photo.jpg





Ni mtazamo tu wa washabiki wake. nyie hamjui mapaparazi wa kizungu huwachokonoa macelebs kwa kuwasifiasifia and then wanakupaka matope?
Fuatilieni tu hii ni ndefu kama isidingo....ntakuja kusikia story ya the most beautful woman mwingine
 
Last edited by a moderator:
kajitahd kidogo kwa urembo....ila aongeze zaid kujiremba manake mke wangu kamfunika mbaaliiiii
 
hyu hawezi kua mwananke mrembo kuliko wote duniani hata sekunde moja.
labda useme ndie mwanamke anaefahamika kua ni mrembo kuliko wote duniani.
hata kitaani kwetu vivi si anamtoa nockout huyu!!
 
Back
Top Bottom