Tujikumbushe mazuri yaliyofanywa na utawala wa Kikwete

MUBIKU

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
275
372
Bila kupepesa macho haya ndio niliyo yashuhudia ktk uongozi Wa awamu ya NNE(4) ya bwana canal.Dr.Mrisho Jakaya Kikwete.
1. Shule za kata(secondary) nchi nzima
2. Ujenzi Wa airport terminal 3
3. Usafiri wa magari ya mwendo kasi (Udart)
4 .Ajira nyingi hasa vyombo vya ulinzi na usalama "haijawah kutokea hii" sect hizo kuajir watu wengi tangu Uhuru
5. Chuo kikuu Dodoma
6. Bomba LA Gesi Mtwara
7. Chuo cha kijesh RTS Msata
8. Hospital ya Mloganzila na chuo chake
9.Daraja LA kigamboni
10.Umeme Wa REA nchi nzima
11. ONGEZA ZAKO
UZI TAYARI.
 
70% ya uyaonayo leo ni ya JK
Aliacha hela hazina ili vifanyike?! Kwamba sgr alimuachia Magu hela pale hazina ajenge? Ndege pia alishalipia kazi ya Magu ni kuzipokea sio? Na ile terminal 3 pia aliacha hela za kumalizia....Mimi nampongeza JK kwa daraja la Kigamboni
 
70%
 
Chuo kikuu dodoma ni mkapa acha kupotosha

Bomba la gesi kumbe nalo ni maendeleo?
 
Bila kupepesa macho haya ndio niliyo yashuhudia ktk uongozi Wa awamu ya NNE(4) ya bwana canal.Dr.Mrisho Jakaya Kikwete.
1. Shule za kata(secondary) nchi nzima
2. Ujenzi Wa airport terminal 3
3. Usafiri wa magari ya mwendo kasi (Udart)
4 .Ajira nyingi hasa vyombo vya ulinzi na usalama "haijawah kutokea hii" sect hizo kuajir watu wengi tangu Uhuru
5. Chuo kikuu Dodoma
6. Bomba LA Gesi Mtwara
7. Chuo cha kijesh RTS Msata
8. Hospital ya Mloganzila na chuo chake
9.Daraja LA kigamboni
10. ONGEZA ZAKO
UZI TAYARI.
Kama haya ndo maendeleo aliyoyafanya kikwete kwa miaka yake 10 bas magufuli kwa hii miaka yeke 4 ataendelea kuwa juu sana kwa makubwa machache aliyoyafanya

Viva magu
 
Back
Top Bottom