Tujikumbushe matukio ya vifo na kuugua ghafla kwa viongozi ndani ya CHADEMA ambayo yameacha maswali yasiyo na majibu

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
884
848
Ndugu zangu wanajamvi, kwa yanayoendelea ndani ya CHADEMA, great thinkers hatuna budi kufikiri nje box kwa kujaribu kutafuta yaliyofichika ambayo pengine kwa kutoyatengea muda wa kuyachanganua tunaweza kujikuta tunakuwa bendera fuata upepo na wapiga mbiu wa maovu ya Watu flani flani ambao wameujua udhaifu wetu na wanautumia barabara.

Hebu tuorodheshe matukio ya vifo, kuugua ghafla na madhila mengine ambayo yamewapata viongozi/wanachadema, kisha tuchambue mazingira ya matukio hayo ili tupate kubaini hayo yaliyofichika ndani ya CHADEMA.

Mimi naanza na haya maswali ya uchokozi kwa baadhi tu ya matukio kisha niwaachie great thinkers myachambue:

1. Ni uhusiano gani uliokuwepo kati ya tukio la ajali ya gari iliyogharimu maisha ya Chacha Wangwe na Vita ya Uenyekiti wa CHADEMA taifa uliokuwepo Kati ya Freeman Mbowe na Chacha Wangwe?

2. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kuugua ghafla tumbo Mbunge wa Tarime, John Heche wakati wa bunge la bajeti 2017 na vita ya Uenyekiti kati yake na Mbowe?

3. Ni uhusiano gani uliopo Kati ya kifo cha Ndesapesa na kulegalega kwa mahusiano kati ya familia ya Ndesa na Mbowe?

4. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kupotea kwa Ben Saanane na kile kinachodaiwa kulegalega kwa imani ya Mbowe kwa Ben siku za mwishoni kabla Ben hajapotea?

5. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na kile kinachosemwasemwa kuwa ni vita ya Uenyekiti iliyopo kwa sasa kati ya Mbowe na Lissu? Vipi kuhusu madai yanayotajwatajwa kuwa Lissu alijianzishia mtandao uitwao "Kizazi cha Kuhoji " ili kujijenga kisiasa ndani ya chama hivyo kumuudhi Mbowe?

Karibuni tujadiliane kwa hoja.
 
Ndugu zangu wanajamvi, kwa yanayoendelea ndani ya Chadema great thinkers hatuna budi kufikiri nje box kwa kujaribu kutafuta yaliyofichika, ambayo pengine kwa kutoyatengea muda wa kuyachanganua tunaweza kujikuta tunakuwa bendera fuata upepo na wapiga mbiu wa maovu ya Watu flaniflani ambao wameujua udhaifu wetu na wanautumia barabara.

Hebu tuorodheshe matukio ya vifo, kuugua ghafla na madhila mengine ambayo yamewapata viongozi / wanachadema, kisha tuchambue mazingira ya matukio hayo ili tupate kubaini hayo yaliyofichika ndani ya chadema.

Mimi naanza na haya maswali ya uchokozi kwa baadhi tu ya matukio kisha niwaachie great thinkers myachambue:
1: Ni uhusiano gani uliokuwepo kati ya tukio la ajali Ya gari iliyogharimu maisha ya Chacha Wangwe na Vita ya uenyekiti wa chadema taifa uliokuwepo Kati ya Freeman Mbowe na Chacha Wangwe?

2. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kuugua ghafla tumbo mbunge wa Tarime John Heche, wakati wa bunge la bajeti 2017 na Vita ya uenyekiti Kati yake na Mbowe?

3. Ni uhusiano gani uliopo Kati ya kifo cha Ndesapesa na kulegalega kwa mahusiano kati ya familia ya Ndesa na Mbowe?

4. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kupotea kwa Ben Saanane na kile kinachodaiwa kulegalega kwa imani ya Mbowe kwa Ben siku za mwishoni kabla Ben hajapotea?

5. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na kile kinachosemwasemwa kuwa ni vita ya uenyekiti iliyopo kwa sasa kati ya Mbowe na Lissu?. Vipi kuhusu madai yanayotajwatajwa kuwa Lissu alijianzishia mtandao uitwao "Kizazi cha Kuhoji " ili kujijenga kisiasa ndani ya chama hivyo kumuudhi Mbowe?

Karibuni tujadiliane kwa hoja. Matusi pia kwa wasio na hoja yanaweza kuruhusiwa ( kwa ridhaa ya moderator).
Kama kweli unahoji hayo Maswali, naomba nikuelekeze kwa Jeshi la Polisi Tanzania, watakupa Majibu. Otherwise hamfai kuongoza nchi kama matukio kama hayo mnashindwa kuyachunguza na kuyachukulia hatua za Kisheria.
 
Ndugu zangu wanajamvi, kwa yanayoendelea ndani ya Chadema great thinkers hatuna budi kufikiri nje box kwa kujaribu kutafuta yaliyofichika, ambayo pengine kwa kutoyatengea muda wa kuyachanganua tunaweza kujikuta tunakuwa bendera fuata upepo na wapiga mbiu wa maovu ya Watu flaniflani ambao wameujua udhaifu wetu na wanautumia barabara.

Hebu tuorodheshe matukio ya vifo, kuugua ghafla na madhila mengine ambayo yamewapata viongozi / wanachadema, kisha tuchambue mazingira ya matukio hayo ili tupate kubaini hayo yaliyofichika ndani ya chadema.

Mimi naanza na haya maswali ya uchokozi kwa baadhi tu ya matukio kisha niwaachie great thinkers myachambue:
1: Ni uhusiano gani uliokuwepo kati ya tukio la ajali Ya gari iliyogharimu maisha ya Chacha Wangwe na Vita ya uenyekiti wa chadema taifa uliokuwepo Kati ya Freeman Mbowe na Chacha Wangwe?

2. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kuugua ghafla tumbo mbunge wa Tarime John Heche, wakati wa bunge la bajeti 2017 na Vita ya uenyekiti Kati yake na Mbowe?

3. Ni uhusiano gani uliopo Kati ya kifo cha Ndesapesa na kulegalega kwa mahusiano kati ya familia ya Ndesa na Mbowe?

4. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kupotea kwa Ben Saanane na kile kinachodaiwa kulegalega kwa imani ya Mbowe kwa Ben siku za mwishoni kabla Ben hajapotea?

5. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na kile kinachosemwasemwa kuwa ni vita ya uenyekiti iliyopo kwa sasa kati ya Mbowe na Lissu?. Vipi kuhusu madai yanayotajwatajwa kuwa Lissu alijianzishia mtandao uitwao "Kizazi cha Kuhoji " ili kujijenga kisiasa ndani ya chama hivyo kumuudhi Mbowe?

Karibuni tujadiliane kwa hoja. Matusi pia kwa wasio na hoja yanaweza kuruhusiwa ( kwa ridhaa ya moderator).
na kifo cha ajali ya ghafla ya regia mtema aliyekuwa mbunge wa viti maalumu kule morogoro na aliyeteuliwa kumrithi!
 
Tusisahau na,hawa ...Horace kolimba......dk omary ally Juma....shekh abeid aman karume.....Monica mbega,
 
Kila jambo linawezekana hapo hamna anaejua ila suala la msingi ufanyike uchunguzi huru tuu nje ya nchi.
 
Ndugu zangu wanajamvi, kwa yanayoendelea ndani ya Chadema great thinkers hatuna budi kufikiri nje box kwa kujaribu kutafuta yaliyofichika, ambayo pengine kwa kutoyatengea muda wa kuyachanganua tunaweza kujikuta tunakuwa bendera fuata upepo na wapiga mbiu wa maovu ya Watu flaniflani ambao wameujua udhaifu wetu na wanautumia barabara.

Hebu tuorodheshe matukio ya vifo, kuugua ghafla na madhila mengine ambayo yamewapata viongozi / wanachadema, kisha tuchambue mazingira ya matukio hayo ili tupate kubaini hayo yaliyofichika ndani ya chadema.

Mimi naanza na haya maswali ya uchokozi kwa baadhi tu ya matukio kisha niwaachie great thinkers myachambue:
1: Ni uhusiano gani uliokuwepo kati ya tukio la ajali Ya gari iliyogharimu maisha ya Chacha Wangwe na Vita ya uenyekiti wa chadema taifa uliokuwepo Kati ya Freeman Mbowe na Chacha Wangwe?

2. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kuugua ghafla tumbo mbunge wa Tarime John Heche, wakati wa bunge la bajeti 2017 na Vita ya uenyekiti Kati yake na Mbowe?

3. Ni uhusiano gani uliopo Kati ya kifo cha Ndesapesa na kulegalega kwa mahusiano kati ya familia ya Ndesa na Mbowe?

4. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kupotea kwa Ben Saanane na kile kinachodaiwa kulegalega kwa imani ya Mbowe kwa Ben siku za mwishoni kabla Ben hajapotea?

5. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na kile kinachosemwasemwa kuwa ni vita ya uenyekiti iliyopo kwa sasa kati ya Mbowe na Lissu?. Vipi kuhusu madai yanayotajwatajwa kuwa Lissu alijianzishia mtandao uitwao "Kizazi cha Kuhoji " ili kujijenga kisiasa ndani ya chama hivyo kumuudhi Mbowe?

Karibuni tujadiliane kwa hoja. Matusi pia kwa wasio na hoja yanaweza kuruhusiwa ( kwa ridhaa ya moderator).

Spin doctors at work, hivi kweli kama haya unayoyasema ni ya kweli, kwamba Mh Mbowe, anahusika, mbona mnashindwa kumkamata na kuhakikisha chadema inakufa kama mnavyoiua CUF kwa jinsi mnavyotumia vyombo vya dola,bila shaka,mmedukua simu zao,mmewafatilia, lakini mmeambulia patupu,sasa kilichopo ni propaganda,habari za uongo,

Bila kujua kwamba kizazi hiki cha sasa sio kizazi,cha gazeti LA Uhuru,na mzalendo,ni kizazi cha information technology,na mitandao ya jamii,hawazugiki ki rahisi,
 
Hivi DCI wa Tanzania aliombwa kwenda kuchunguza kifo cha Princess Diana na waingereza ?
Si mmeambiwa waletwe Scotland yard nyie hamtaki mnaanza oooh Kibiti utafikiri mlikuwa mnawauwa ili mje kupata visingizio
 
Ndugu zangu wanajamvi, kwa yanayoendelea ndani ya Chadema great thinkers hatuna budi kufikiri nje box kwa kujaribu kutafuta yaliyofichika, ambayo pengine kwa kutoyatengea muda wa kuyachanganua tunaweza kujikuta tunakuwa bendera fuata upepo na wapiga mbiu wa maovu ya Watu flaniflani ambao wameujua udhaifu wetu na wanautumia barabara.

Hebu tuorodheshe matukio ya vifo, kuugua ghafla na madhila mengine ambayo yamewapata viongozi / wanachadema, kisha tuchambue mazingira ya matukio hayo ili tupate kubaini hayo yaliyofichika ndani ya chadema.

Mimi naanza na haya maswali ya uchokozi kwa baadhi tu ya matukio kisha niwaachie great thinkers myachambue:
1: Ni uhusiano gani uliokuwepo kati ya tukio la ajali Ya gari iliyogharimu maisha ya Chacha Wangwe na Vita ya uenyekiti wa chadema taifa uliokuwepo Kati ya Freeman Mbowe na Chacha Wangwe?

2. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kuugua ghafla tumbo mbunge wa Tarime John Heche, wakati wa bunge la bajeti 2017 na Vita ya uenyekiti Kati yake na Mbowe?

3. Ni uhusiano gani uliopo Kati ya kifo cha Ndesapesa na kulegalega kwa mahusiano kati ya familia ya Ndesa na Mbowe?

4. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kupotea kwa Ben Saanane na kile kinachodaiwa kulegalega kwa imani ya Mbowe kwa Ben siku za mwishoni kabla Ben hajapotea?

5. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na kile kinachosemwasemwa kuwa ni vita ya uenyekiti iliyopo kwa sasa kati ya Mbowe na Lissu?. Vipi kuhusu madai yanayotajwatajwa kuwa Lissu alijianzishia mtandao uitwao "Kizazi cha Kuhoji " ili kujijenga kisiasa ndani ya chama hivyo kumuudhi Mbowe?

Karibuni tujadiliane kwa hoja. Matusi pia kwa wasio na hoja yanaweza kuruhusiwa ( kwa ridhaa ya moderator).
Ukiona Kiongozi anazungumzwa kwa kufikirika kama unavyofanya mkuu, ujue huyo ni kiongozi kweli. Maana yote ni udhanifu, you are trying to connect the dots. Mbowe is a great leader. Hamtakuja kumkamata popote. Ng'ooooo. Ni tofauti ni viongozi wenu watenda maovu hadharani kisha mnawalinda.
 
Unawakumbukal hawa na walivyokufa
1) Edward Sokoine
2)Kighoma Malima
3) Horace Kolimba
4)Salome Mbatia
5)Mchungaji Mtikila
Tuanzie hapo kwanza..
 
Ndugu zangu wanajamvi, kwa yanayoendelea ndani ya Chadema great thinkers hatuna budi kufikiri nje box kwa kujaribu kutafuta yaliyofichika, ambayo pengine kwa kutoyatengea muda wa kuyachanganua tunaweza kujikuta tunakuwa bendera fuata upepo na wapiga mbiu wa maovu ya Watu flaniflani ambao wameujua udhaifu wetu na wanautumia barabara.

Hebu tuorodheshe matukio ya vifo, kuugua ghafla na madhila mengine ambayo yamewapata viongozi / wanachadema, kisha tuchambue mazingira ya matukio hayo ili tupate kubaini hayo yaliyofichika ndani ya chadema.

Mimi naanza na haya maswali ya uchokozi kwa baadhi tu ya matukio kisha niwaachie great thinkers myachambue:
1: Ni uhusiano gani uliokuwepo kati ya tukio la ajali Ya gari iliyogharimu maisha ya Chacha Wangwe na Vita ya uenyekiti wa chadema taifa uliokuwepo Kati ya Freeman Mbowe na Chacha Wangwe?

2. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kuugua ghafla tumbo mbunge wa Tarime John Heche, wakati wa bunge la bajeti 2017 na Vita ya uenyekiti Kati yake na Mbowe?

3. Ni uhusiano gani uliopo Kati ya kifo cha Ndesapesa na kulegalega kwa mahusiano kati ya familia ya Ndesa na Mbowe?

4. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la kupotea kwa Ben Saanane na kile kinachodaiwa kulegalega kwa imani ya Mbowe kwa Ben siku za mwishoni kabla Ben hajapotea?

5. Ni uhusiano gani uliopo kati ya tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na kile kinachosemwasemwa kuwa ni vita ya uenyekiti iliyopo kwa sasa kati ya Mbowe na Lissu?. Vipi kuhusu madai yanayotajwatajwa kuwa Lissu alijianzishia mtandao uitwao "Kizazi cha Kuhoji " ili kujijenga kisiasa ndani ya chama hivyo kumuudhi Mbowe?

Karibuni tujadiliane kwa hoja. Matusi pia kwa wasio na hoja yanaweza kuruhusiwa ( kwa ridhaa ya moderator).
Tujikubushe kifo mwalimu jk nyerere hakika ni hatari mkuu
 
Back
Top Bottom