Tujikumbushe maneno mema aliyowahi kuyasema DAB

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,925
95,203
Leo katika historia tujikumbushe baadhi ya maneno aliyowahi kuyasema DAB.

Ni mengi sana lkn nimechagua haya ili angalau tujikumbushe na kuifanya siku ya leo ipite kwa kicheko.

 
Ahsante, nilishapoa...maisha popote !

Huyu jamaa kuna kipindi alikuwa ana nguvu aisee, alikuwa akiamua kukushughulikia kwenye mkoa "wake" utaondoka tu
Ndiyo maana watu wanamuombea mabaya
 
Ndiyo maana watu wanamuombea mabaya
Huyu jamaa sijui bado kuna mkono unamlinda, kuna watu wengi wakubwa tu aliwasumbua sana alivyowekwa pembeni ilikuwa suala la muda mahakama ya mtaa ingetoa hukumu yake kwa sasa anakula pensheni na vinono tu🍗🍔🍟🌭
 
Huyu jamaa sijui bado kuna mkono unamlinda, kuna watu wengi wakubwa tu aliwasumbua sana alivyowekwa pembeni ilikuwa suala la muda mahakama ya mtaa ingetoa hukumu yake kwa sasa anakula pensheni na vinono tu
Bado zamu yake
 
Back
Top Bottom