Tujikumbushe makundi ya wasanii hapa TZ waliobamba na wimbo mmoja kisha wakapotea

Dr.levy alikuwa anachora katuni ya baba ubaya kwenye gazeti la kiu.

alitoa ngoma moja tu Kura yangu ilikuwa kali mno....Kutoka pale akawa anafanya collabo tu alipiga collabo ya "Una" ngoma ya Professor Jay na Ngwea.

na alipiga collabo ya ngoma ya "Uwanja mpya" ya Afande sele.Siku hizi anashinda Facebook tu.
Kwahiyo mnashinda wote facebook
 
balozi dola soul - kwenye chati
wagosi wa kaya - tanga
hardmad - tamala
mad ice - baby gal
afande sele - darubini
ji- kidato kimoja
dogo ditto - dunia ina mambo
inspekta haroun - mtoto wa geti kali
mr paul - zuwena
dj yusuph mbele kwa mbele
kikosi cha mizinga - mstari wa mbele
soggy doggy - kibanda cha simu
wateule - watu kibao
jaffarai - busy
daz nundaz - kamanda
 
Nakukubali. Naijua hiyo nyimbo nadhani me ndio niliitaja hapa. Kazi yako hii naikubali mpaka kesho
Mkuu sorry sana sio mimi nilieimba huo wimbo but nilikuwa naukubali sana kipindi hicho.samahani mkuu, I was joking
 
Q-jay ft Joslin- Sifai


Daaah enzi hizo umeachana na manzi alafu ukapata mwingine, ndo ukiusikiliza unakupa matumaini balaah...walikuwa njema sana "WAKALI KWANZA"
 
Back
Top Bottom