Tujikumbushe makocha wa kigeni waliowahi kufundisha soka Tanzania

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,713
45,092
Ni ukweli ulio wazi kwa nchi za Afrika ya Mashariki, hakuna nchi inayopenda mpira kama Tanzania. Ndio maana kumekuwa na lindi kubwa la wachezaji na makocha wa kigeni kuja kwenye soka la Tanzania. Wengine wakifika Bongo hawatamani hata kurudi makwao.

Leo tuwakumbuke makocha wa kigeni ambao waliwahi kufundisha soka hapa Tanzania, hii itasaidia kuwajuza mashabiki wapya ambao wengine wameanza kufatilia soka kupitia Azam tv.

Me naanza;
• Jack Chamangwana alifundisha Yanga
• James Aggrey Siang'a alifundisha kwa mabingwa wa nchi

Karibu uendeleee...
 
Tambwe Leya (Zaire)
Nyoyisaba Touzany(Burundi)
Raul Shungu (DRC)
Marcio Maximo (Brazil)
Ernie Brands (Holland)
Kostadin Papic (Serbia)
George Lwandamina (Zambia)
Hans Van Pluijm (Holland)
 
Tambwe Leya (Zaire)
Nyoyisaba Touzany(Burundi)
Raul Shungu (DRC)
Marcio Maximo (Brazil)
Ernie Brands (Holland)
Kostadin Papic (Serbia)
George Lwandamina (Zambia)
Hans Van Pluijm (Holland)
Micho
Kishingo
Siang'a
Mzee wa kusinya
Lwandamina
 
Morovan Circovic....Simba. (serbia)

alimpiga Yanga Tano na kuchukua ubingwa bila kupoteza mechi.
UNBEATEN.
2012-2013.
 
Back
Top Bottom