Tujikumbushe Makipa Waliopita Katika Miaka 19 ya Juma Kaseja Katika Soka La Bongo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,688
45,000
Sasa ni takribani miaka 19, toka Juma Kaseja aanze kucheza soka la Bongo haswa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.

Katika kipindi hiko Juma Kaseja, kuna magolikipa waliibuka, wakatamba kisha wakapotea ila Kaseja yeye yupo tu.

Hebu leo tuwakumbuke baadhi ya magolikipa hao waliomkuta Kaseja halafu wakaja kupotea ilhali Kaseja yupo tu.

Mimi naanza na Ivo Mapunda.
 
Anayemjua amtaje jina
images.jpg
 
Hakuna kipa pale , niliwaambiaga wana simba yule dogo ni sufuri , wakampaga msimu mmoja adake ,aisee simba walichezea vichapo , wakampelekaga singida, sijui alipotelea wapi
Anatembelea nyota ya mzee wake
 
Calvin Mhagama alikuwa kipa namba mbili pale simba pembeni ya Kaseja ila sijui sasa hivi yupo wapi.

Timu yetu ya mtaani miaka ile ya 2003 kuna jamaa alikuwa anakaa bench nafasi ya goli kipa nikiwepo hivyo walimbatiza jina LA Calvin Mhagama Mimi wakaniita Kaseja.

Sasa hivi nina miaka 12 sijacheza mpira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom