Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,713
- 45,090
Sasa ni takribani miaka 19, toka Juma Kaseja aanze kucheza soka la Bongo haswa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Katika kipindi hiko Juma Kaseja, kuna magolikipa waliibuka, wakatamba kisha wakapotea ila Kaseja yeye yupo tu.
Hebu leo tuwakumbuke baadhi ya magolikipa hao waliomkuta Kaseja halafu wakaja kupotea ilhali Kaseja yupo tu.
Mimi naanza na Ivo Mapunda.