Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

TTBS from Moshi-Arusha-Singida! Basi hili liliua watu kibao mpaka likaitwa Twende Tukafe Bila Sababu! TTBS! Pia nakumbuka Basila Katarimo!
 
.........Miaka ya 80' Ubungo Posta kulikuwa na Mabasi kama Kunta Kinte, Safari na Muziki, Jadide pamoja na Hiace ya Bob Edgar. Vile vile kulikuwa na Super Star la kwenda Mikoani.
 
Puta Uheme Mghoshi Nkiko ....Tanga Lushoto
ULTBS ...Usambara Lines Transport Bus Service
Taifa Bus
Malanja Cross
Katiba bus
Kid Bus
Vumilia Duga Tanga Dar
Amtco
Tamtco
Simba Mtoto
 
Mkuu hiyo gari ilizama wkt tayari basi zinasafiri mchana.Ilikuwa ajali ya basi la Safina lilikuwa linapiga Dar Dom liligongana na lori Waziri Mkuu wa wkt huo Johm Malechela akapiga marufuku safari za usiku

Ni ajali ya yarabi salama pale kwenye mlima wa ihumwa mara baada ya kupita kambi ya jeshi.
 
Back
Top Bottom