Tujikumbushe maamuzi na matamko Spika Job Ndugai

Vyovyote iwavyo, kukopa trilioni 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati tena bila idhini ya bunge ni jambo lisilo kubalika, na hili lazima liondoke na mtu!
 
Siwezi kufurahia anguko la huyu Mzee lakini nafurahia ni haki inafanyika na ubaya urudi ubayani.

Ni Spika ambaye hakuheshimu katiba hata kidogo, alijifanya yeye ndio katiba.

Halafu mwishoni akataka tumia haki ya kikatiba aliyoikanyaga na akidhani sasa nayo katiba itamwokoa.

Ibaki wazi ndio Spika mbovu tangia Uhuru.

Miaka mitano imemtosha.

Kwaheri Job Ndugai.
Kichefu chefu kweli huyu ndungai, kubwa jinga hasa
 
Hahaaa nasubiria mapigo JN nakuaminia
Nguvu yake, ambayo nayo ilikua ni ndogo, ilikua ni wakati ule akiwa kwenye "KITI", sasahivi yuko nje ya kiti, hayo mapigo unayosubiri utasubiri sana.

Nguvu ya mamba ni pale akiwa ndani ya maji.
 
Back
Top Bottom