Tujikumbushe maafa/matokeo ya kidato cha nne 2010,kabla ya haya mnayoyalila ya 2011. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe maafa/matokeo ya kidato cha nne 2010,kabla ya haya mnayoyalila ya 2011.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Vitendo, Feb 7, 2012.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  MAAFA YA KIDATO CHA NNE 2010

  DARAJA WANAFUNZI
  I 5363
  II 9942
  III 25083
  IV 136,633
  0 174,193


  hivyo ndiyo hali halisi ya jinsi ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2010,
  Ila hayo ndo maafa yaliyotukumba Tanzania kama Taifa,maana huu ni msiba wa kitaifa na ni janga kwa
  Nchi yetu kutoa 0(division Zero) 174,193 ndani ya mwaka mmoja.
  Wadau wanao husika na sekta hii muhimu wito kwenu tufanye kazi kwa bidii kuonoda aibu hii.
  Napenda kuwasilisha.
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  safari hii maafa ni makubwa zaidi, yameongezeka kwa kasi zaidi na kwa ari zaidi, siku si nyingi watu watasahau hbr za mgomo wa madaktari km walivyosahau kupanda kwa bei ya umeme. kama si leo kesho, ni swala la kusubiri tu.
  bila JF kwa siku maisha yanakuwa bored.
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wadau wakubwa wa Elimu ni Waalimu,sasa embu tafakari support kutoka serikalini kwa hawa waalimu! Wengine wanadai pesa zao za mwaka mzima ambazo hawakulipwa lakini wanazungushwa,we unategemea wataiondoaje hii aibu? Pia,shule zetu nyingi hazina maabara na maktaba,hawa wanafunzi watasomaje na kufaulu vizuri? Tafakari,chukua hatua.
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  yamadaktari hatuwezi kusahau mpaka lishughulikiwe hv unajua ni kifo hicho eeh, unazungumzia uzima au uhai.
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  waaalimu mbona wamegoma kama waka wa tano sasa hivi?
   
 6. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  2011.......matokeo yamepotea
   
 7. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  vifo vingapi tunasahaulishwa kwa matukio mbalimbali?? Northmara, arusha, samunge, nungwi,ripoti imetoka, more than 2000 people confirmed dead, na wadanganyika tupo tupo tuuu,, hatuna hili wala lile????????
   
Loading...