Tujikumbushe; leo wanapinga, je wao walikuwa sawa? - CUF Walk Out Amid Government Intransigence | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe; leo wanapinga, je wao walikuwa sawa? - CUF Walk Out Amid Government Intransigence

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Nov 23, 2011.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Opposition legislators yesterday [8 April 2008] stormed out of the National Assembly protesting what they saw as dilly-dallying by the ruling CCM over the endorsement of the Zanzibar peace accord.

  A team comprising senior representatives of both the ruling party and the opposition Civic United Front (CUF) recently completed drawn-out negotiations meant to end the protracted political stand-off in the Isles.
  The team’s recommendations, which included having a coalition government in Zanzibar, were handed over to both parties recently.

  At the centre of yesterday [8 April 2008]’s walkout is the decision by the CCM-National Executive Committee (NEC) just over a week ago to refuse to endorse this particular recommendation.
  It instead opted for a referendum on the matter, saying choosing the system of government to use was too sensitive an issue to be handled without due caution.

  Shortly before the question-and-answer session, House Speaker Samwel Sitta announced: “The Leader of the Official Opposition (CUF’s Hamad Rashid Mohamed) came to my residence this morning and told me that opposition MPs would not participate in the National House business - that they would be protesting delays by CCM in endorsing the `muafaka` (reconciliation) agreement.”

  Addressing a news conference here shortly after the walk-out, Mohamed said they were expressing their disagreement with CCM’s “disrespect to the agreement”.
  “Opposition MPs have walked out of the House to express dissatisfaction over the way the CCM-led government has handled the ‘muafaka’ talks,” he said, thanking the rest of the opposition camp in the House for supporting us”.
  The walkout involved MPs from both CUF, whose rejection of the results of the 2000 and 2005 general elections in the Isles led to the standoff, and other opposition political parties.

  President Jakaya Kikwete promised in his inaugural speech to the National Assembly soon after assuming power in late 2005 that he would leave no stone unturned in finding a lasting solution to the Zanzibar impasse.
  Opposition MPs say CCM-NEC has come up with a new idea (referendum), which they said was not on the agenda of the ‘muafaka’ talks.

  As the two parties continue trading accusations over the controversy, CUF legislators yesterday [8 April 2008] decided to move to the party’s head office in Dar es Salaam for what was described as “special and different assignments” aimed at pushing for the implementation of the ‘muafaka’ pact.
  “Some MPs will leave Dodoma today and others tomorrow. Some legislators will be deployed to assess the state of security in Zanzibar. We are told life-threatening posters are circulating in the Isles,” said Rashid.


  Hamad said CUF legislators would not return here for House business “before completing their assignment of assessing the security situation in the Isles and laying down a sold groundwork for the implementation of the stalled agreement”.
  “I cannot say when exactly we will come back to the House but I have to conclude these crucial tasks,” he pointed out.
   
 2. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  unajua ukioa barmaid halafu ukaenda naye bar sikia anavyowapandishia maids na kuwaita malaya, kisha sahau alikotoka
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Dear Lunyungu, misimamo ya CUF huwezi hata sikumoja kufananisha na chadema..never! CUF walishinda uchaguzi mara tatu, wakafanyiwa kila aina ya uovu...ndio hao hao CUF walioweka muafaka na kuunda SUK

  Lunyungu, ukitaka kuisema vizuri historia tena ya bila upendeleo..utagundua poor diplomatic language ya chadema ndio imetengeneza uadui wa CUF na Chadema!

  Uadui huu uliwekwa mara baada ya uchaguzi...maumivu yote ya Rashid kuukosa uongozi wa bunge ulitakiwa kuwa waangalifu sana, kama na kama tu lengo la CDM ni mtizamo wa kitaifa zaidi na sio kundi la watu fulani

  Leo hii uadui unakua, maskini wewe huoni chadema ndio wenye tatizo? kuwatukana wenzao kila kona mlifikiri CUF ni miti tu..hawana feeling, hawaumii ..n.k

  Ona sasa chadema ilivyozidiwa nguvu swala la katiba...hamna backup..Kikwete katwist kidogo tu swala zima chali..but you have a point!! what is politics anyway. what is politician?? msitudanganye

  Jifunzeni kuweka misingi ya ushindi hasa kwenye swala la amani na watu wote! even when they are wrong..probably like me!

  "My father was a diplomatic officer. As a diplomat's daughter, you have to learn to present yourself very early on"-Kathleen Turner

  Leo CUF mnaiita CCM B, simply kwa sababu wako SUK, Nyie mliwatenga wenzenu tena kwa matusi simply baada ya kupata wabunge wengi..kesho CDM mkipata wabunge 250 mnaweza kuwatosa mpaka mama zenu simply kwa sababu katiba itasema hivyo..ngoma droo!

  Mliwatenga CUF kwa kisingizio Katiba inaruhusu kuunda kambi ya upinzani nyie wenyewe...leo katiba hiyo hiyo HAIFAI!!! logically....false! na inaonyesh madai yenu ya katiba ni ya msimu tu!

  common sense is not always common..to hell CDM, haiwezekanani askari walewale mkatumia siasa zenu zilezile kuwatenga kwa sababu ya kutoeleweka kwa CUF, lakini wako right!! mka justify your decision kwa sababu nyingi tu..

  Nyie wote CUF na nyie CDM ni walewale..kama umeandika hivi kupata support ya wenzio sawa..ila ukweli CDM walikosea na hawakuwa na lugha nzuri hata kidogo

  nendeni mkakutane na rais baada ya kusuasua kuingia na kutoka bungeni..wenzenu CUF walitoka miezi mingi tu..hawakuangalia posho...
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Nitakurudia maana naona umeanza vibaya .Soma bandiko langu vyema na CUF kuitwa CCM B si Chadema ni wananchi .Baada ya muafaka ule usingaliweza kukaa nao na kujadili hoja za maana .Kwa Maalim kwakee ilikuwa ufalme kesha upata na CUF is dead .
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Kwa mimi cuf kilocho wasukuma kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ni njaa na si kingine.
  - hivi chadema wangeweza vipi kukakaa na cuf kuunda kambi ya upinzani na huku cuf wakiwa ni kama popo vile, hawaungi serilaki mkono wala hawaiping.

  - na c kutegemea kama ni cuf walio kuwa wakisimama bungeni na kuiponda serikali ya ccm miaka ile je ni kipi serikali ilicho wafanyia mpaka waisifu vile?

  - cuf walikuwa wanafaiti kipindi kile c kwa sababu walikuwa na uchungu na wazanzibar ila ni kutaka madalaka na waisha pata kwa sasa wako kimya.

  -
   
 6. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Waberoya, Ktk siasa hakuna adui au rafiki wa kudumu, kuwalaumu CDM ni kwa kuwa ni wapinzani wa chama tawala (ambacho nadhani una-interst nacho)
  Hata hivyo CUF kujiunga na CCM dhidi ya jambo la maslahi ya Taifa si sawa.

  Hivyo, CUF ni wasanii na wanafiki, CUF ni walevi wenye uchu wa madaraka,
   
 7. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  bado cdm kama wa mechanganyikiwa kabisa mbowe amekanusha kuwa hawana chuki na zanzibar eti ccm na cuf zimeichongea cdm kuhusu zanzibar hivyo mbowe anakanusha kuwa hawaichukii zanzibar nawala hawana nia mbaya na zanzibar huku lisu akichombeza serikali 3.lisu kauli zake zanyuma zinaashiria kabisa zanzibar isiwepo kwa muungano nakinachomuudhi kisehemu kidogo wa bunge wengi. Sifikiri kama wabunge hawa wangekuwa wakitoka Cdm asinge ongea kauli za ukali kuhusu zanzibar kwa kuwahadaa watz ndio maana wametanguliza kinga ya kombora la muungano haswa zanzibar. Ni wazi cdm hawajielewi wanawachukuia wa zanzibar walioiweka SUK kwa zaidi ya 65%, halafu leo unajikanusha mwenyewe inabidi tuishangae cdm kuta kuongea na rais, waende kwenye maandamano yao nanguvu ya umma wakaongee katiba huko. Miaka inakata uchaguzi unafika katiba ileile na majadiliano ya katiba kwenye nguvu ya umma yanakuwa yameleta tija cdm wanafiki hamumtambui rais iweje muongee nae maswala ya katiba na wakati katiba inazungumza na people power. Me ruka mkojo mmekanyaga mavi .mlisusia hotuba yake leo bila hata ya kuitwa mnambembeleza rais eti mkutane nae jeuri yenu imekwisha wapi? Endeleeni kususa hotuba tuu nahata atakapolifunga bunge msuse tuu lakini tunajua hamna ubavu wakususa vikao vya bunge mmeporwa huku wa bunge wenu wanashiriki vikao.
   
 8. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  Tatizo lenu munashindwa kuelewa kuwa cuf kwa Zanzibar sio chama ni harakati za kujikombowa na Mkoloni Tanganyika ijitayo Tanzania, Kiyu ya Wzanzibar nikuvunja Muungano huu fake nazani ujumbe aliwaletea ndugu yenu Samuel Sitta kuwa wzanzibar hawataki Muungano huu fake.

  Mimi nahisi ingekuwa jambo labusara kwa Chadema kudai uhuru wa nchi yenu Tanganyika 9dec1961 kuliko kudai uhuru wa Tanzania ilokuwa haina hata historia .

  Chadema wasiwe na wivu na Maalim Seif au cuf kungana ccm/smz and of that ccm/smz and of that wote walio ungana Zanzibar ikapatikana SUK ni ndugu wa damu moja wote ni Wzanzibar choyo na wivu wa nini?.

  Kelele zenu haziwamshi walio lala, tulipokuwa tukigonganishwa vishwa na kuwana mulikuwa wapi nyiyi Chadema? kwanza jitahidini mupate Muwakilishi Zanzibar kama muna ubavu huo, Wzanzibar sio mabwege lengo lenu tunalijuwa nikutulazimisha sote tuwe Watanganyika yaguju.
   
 9. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Leo imekuwa wananchi!
   
 10. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Wooow...sijui hata nianzie wapi maana hata ulivyochomeka hiyo quote ya Turner sijui inahusikaje !

  Yaani ulitegemea CUF iwe part ya upinzani wakati wao wameshaungana na CCM (lugha nzuri wameshaolewa, tena hii inaongelewa na baadhi ya wana CUF ambao wamegundua kuwa hawana lao tena) ! Ni sawa na mtu kufikiri Mrema ni kmbi ya upinzani wakati njaa zake zilimfanya acheze sindimba ktk mkutano wa CCM licha ya afya yake kuwa tata...!! Wakamchangia pesa za kuchukulia form ya ubunge...

  Dude, mapambano ya katiba hayajaanza, so unaongea pumba ! Unadhani CCM na CCM b wameshashinda, subiri usikie moto kama wataendeleza ujambazi wao..

  Kinachowasumbua CUF sasa wanaona jinsi bunge la sasa na kambi ya upinzani ilivyo hot, ebu ona hotuba za mawaziri vivuli wa wizara mbalimbali, then fananisha na enzi zile yule Hamad akiwa kiongozi (walikuwa wakimpa chai na chapati anapoa )

   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Nimefurahi kuwa umewaza tofauti..na umesema sahihi kabisa!

  Lets be honesty at this time...CCM ni wakoloni weusi naharakati ziwe kulikomboa taifa letu la Tanganyika!

  ikiwa hivyo tu...unaharibu kila kitu hata kuharibu kazi za Nyerere na hapa ndipo contradictions zinapoanzia!

  huwezi ukamsifia Nyerere na kuipinga CCM na kulalamika kuhusu katiba!!, siku mtu huyu tutakaposema hatumtaki basi ndio ukombozi unaanza!
   
 12. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kwa mawazo haya na uandishi huu nina amini wew si mgongo wa Pake pekee bali ni mgongo wa Membe elimu hii ni toka shule za kata.Period
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  mkuu sio unaona unavyozungumza ..uchama mbele na utaifa nyuma!..bifu kwa bifu..hatusaidii wananchi mkuu! quote ya turner ni kuwa diplomatic ni muhimu kuanzia mwanzoni hasa unapokuwa na harakati ndefu za ukombozi kama za chadema! jifunze lau kwa Sata zambia!

  hujajua maana ya SUK..kwa sababu huhajua itikadi ni nini, si ajabu kwani hata Slaa alihamia CDM kutoka CCM simply kwa sababu hajui itikadi na hana itikadi...ukiungana huwezi kubadilisha itikidadi mkuu!! unless I should start teaching you this very word! ukiwa CDM ukameza damu na itikadi zake..huwezi kuhama ndivyo unakuwa hivyo ulivyo...!

  in other words ufuasi wa vyama ni beliefs..
   
 14. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi kwa maoni yangu, Serikali ya kitaifa inayotokana na kuhitalifiana kunakotakotokana na matokeo ya uchaguzi ni ubatilini kudhoofisha demokrasiani kukandamiza demokrasiaHebu fikiria tu kwa akili ya haraka haraka, kama mgombea ameshinda/ameshindwa uchaguzi hii room ya negotiation ni ya nini? Kimsingi aliyeshindwa (lakini kwa haki na pasiwe na mashaka mashaka) akae pembeni, aliyeshinda aongoze nchi; full stop? Sasa unakuta aliyesindwa anang'ang'ania mamlaka kwa nguvu hali inayopelekea kufanya makubaliano ya kumpa aliyeshinda madaraka kidogo ili naye akapate kuku wa ikulu kidodo. Mfano ni Kenya, Zanzibar. Hi sio sawa hata kidogo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwanini usiheshimu matakwa ya uma wa wazanzibari?... yaani wanayotaka CDM tu ndiyo wanayotaka wananchi wote? Umejuaje?
   
Loading...