Tujikumbushe leo katika historia

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,504
28,691
Ni mwaka 2012 Mh. Mbowe aliongea haya maneno.

IMG_20200604_110759.jpg

Imepita miaka 8 sasa, bado hajajiuzuru ,ndio kwanza anajilipa million 50 kila mwezi, na hataki kuachia uenyekiti
 
Mwaka 2015 mwezi Juni kutoka ktk maktaba online :
Maneno mazito ya Mzee Bernard C. Membe bado yanaishi mpaka leo kwa wanaCCM ambao wanaitakia mambo makubwa zaidi nchi hii wakielekea 2020, tumsikilize :
 
Back
Top Bottom