mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,139
- 3,450
Cell is the single unit of life
kuna zile stages ambazo any scientific research lazima izipitie zilikuwa saba basi moja wapo ni HYPOTHESIS FORMULATION wakati mwalimu philipo wa baoloji alivyofika hapo alisema HYPOTHESIS IS A TENTATIVE EXPLANATION FO A RISING PROBLEM, ebhana hiko kitu nlikibeba kama kilivyo ni mpaka nlivyofika miaka mitano mbele kutoka form one ndo nlielewa hiyo definition ina maana gani hasa. Mpaka kesho ujinga ujinga mwingi tu umenitoka ila hiko kidude kimenasa hakichomoki eti
Umenikumbusha kanyimbo flan iv ktk hii topic mkuu. Helo,Hellena,Lile,Beberu,Bora,Chinja,Na.....Mole is the amount that contain many elementary particles as there are 6.02 *10 power 23 particles in carbon 12 isotopes
Utakamatwa wewe ohooo defintion ya wenyewe hiyoEzymes is a catalyst that speeds up a chemical reaction and REMAIN UNCHANGED AT THE END OF REACTION
Mimi nakumbuka tu....Wikiend ndo imeanza wadau majukumu ni mengi embu leo kidogo tu refresh akili. Mimi nlikuwa ata ukinikurupua domu usiku wa manane nausingizi wangu hii siisahau . Embu tiririka yako ilikuwa ipiView attachment 1257825
Mkuu sawa na mimi nilivyoshika hypothesis is the tentative prediction of the outcome.....tangu form three mpaka chuo kikuu sijawahi andika tofauti na nilichoandika hapokuna zile stages ambazo any scientific research lazima izipitie zilikuwa saba basi moja wapo ni HYPOTHESIS FORMULATION wakati mwalimu philipo wa baoloji alivyofika hapo alisema HYPOTHESIS IS A TENTATIVE EXPLANATION FO A RISING PROBLEM, ebhana hiko kitu nlikibeba kama kilivyo ni mpaka nlivyofika miaka mitano mbele kutoka form one ndo nlielewa hiyo definition ina maana gani hasa. Mpaka kesho ujinga ujinga mwingi tu umenitoka ila hiko kidude kimenasa hakichomoki eti
Sky, nakuja kwa pm yako tuzungumze aiseeI’m in Cuba mummy
...but it can be transformed from one form to another e.g mechanical energy to sound energy.Enery can neither be created nor destroyed.
Sure...but it can be transformed from one form to another e.g mechanical energy to sound energy.
You remind me the better days of Advanced level...Halaaa EGM....Opportunity Cost....
Ceteris Paribus...
Other things remain constant...
PCM ilikuwa tamu kama una walimu wabobezi na unaelewa kinachofundishwaYou remind me the better days of Advanced level...Halaaa EGM....