Tujikumbushe kidogo tulipotoka

Kuna zile stages ambazo any scientific research lazima izipitie zilikuwa saba basi moja wapo ni HYPOTHESIS FORMULATION wakati mwalimu philipo wa baoloji alivyofika hapo alisema HYPOTHESIS IS A TENTATIVE EXPLANATION FO A RISING PROBLEM, ebhana hiko kitu nlikibeba kama kilivyo ni mpaka nlivyofika miaka mitano mbele kutoka form one ndo nlielewa hiyo definition ina maana gani hasa. Mpaka kesho ujinga ujinga mwingi tu umenitoka ila hiko kidude kimenasa hakichomoki eti.
 
Mambo ya sunlight na leaf ayo..mm iko kipindi nilikuwaga likizo mkuu
kuna zile stages ambazo any scientific research lazima izipitie zilikuwa saba basi moja wapo ni HYPOTHESIS FORMULATION wakati mwalimu philipo wa baoloji alivyofika hapo alisema HYPOTHESIS IS A TENTATIVE EXPLANATION FO A RISING PROBLEM, ebhana hiko kitu nlikibeba kama kilivyo ni mpaka nlivyofika miaka mitano mbele kutoka form one ndo nlielewa hiyo definition ina maana gani hasa. Mpaka kesho ujinga ujinga mwingi tu umenitoka ila hiko kidude kimenasa hakichomoki eti
 
Wikiend ndo imeanza wadau majukumu ni mengi embu leo kidogo tu refresh akili. Mimi nlikuwa ata ukinikurupua domu usiku wa manane nausingizi wangu hii siisahau . Embu tiririka yako ilikuwa ipiView attachment 1257825
Mimi nakumbuka tu....

umri wa baba ni miaka 20 zaidi ya umri wa amina, miaka 6 iliyopita umri wa amina ulikuwa 1/8 ya umri wa baba yake.
A/ Tafuta umri wa amina baada ya miaka 3 ijayo.
B/ Ikiwa baada ya miaka 10 umri ijayo umri wa amina utakuwa ni 1/16 ya umri wa baba, Tafuta umri wa baba.
 
kuna zile stages ambazo any scientific research lazima izipitie zilikuwa saba basi moja wapo ni HYPOTHESIS FORMULATION wakati mwalimu philipo wa baoloji alivyofika hapo alisema HYPOTHESIS IS A TENTATIVE EXPLANATION FO A RISING PROBLEM, ebhana hiko kitu nlikibeba kama kilivyo ni mpaka nlivyofika miaka mitano mbele kutoka form one ndo nlielewa hiyo definition ina maana gani hasa. Mpaka kesho ujinga ujinga mwingi tu umenitoka ila hiko kidude kimenasa hakichomoki eti
Mkuu sawa na mimi nilivyoshika hypothesis is the tentative prediction of the outcome.....tangu form three mpaka chuo kikuu sijawahi andika tofauti na nilichoandika hapo
 
Maisha ni mkusanyiko wa matatizo mengi na raha ndogondogo zinazokuja kwa mbaali kutokea mkono wa kushoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom