Tujikumbushe Kiapo alichokula Magufuli kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,091
Siku hiyo mheshimiwa Raisi aliapa yafuatayo:

1. Kuongoza kwa mujibu wa Katiba, sheria, Tamaduni na Jadi za Mtanzania
2. Kutenda bila Huba, chuki wala upendeleo
3.Akamtaja Mungu, akamuomba Amsaidie

Siku hiyo pia:
Viongozi wa Dini, akiwemo Shekhe Mkuu na Kadinali Pengo walimsomea dua nzitonzito ambazo Mwenyezi Mungu na Malaika wake walikuwa wakishuhudia katika kipande hiki cha dunia kilichokuwa kikiendelea, Walisikia Rais akiahidi kuwa atatawala kwa haki na kwa kufuata katiba na sheria

Ni dhahiri basi kuwa kama atavunja kiapo chake , Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye:

Hiki ndo kiapo alichokula raisi Magufuli huku akimtaja Mungu

 
Napendekeza wangeapa kuwa wakistaafu tuwapangie Nazi nyingine naona tungeanza na
(1) marehemu Mwl Nyerere baada ya kustaafu angeajiriwa NMC au kiwanda cha khanga urafiki
(2) mzee Mwinyi tungempa uwakala was kusambaza bia za Stella Artois
(3) mzee mkapa tungemwajiri awe mlinzi kwenye makao makuu ya benki ya NBC mitaa ya sokoine
(4) kikwete tungempeleka kiwanda cha vyandarua cha a to z
(5) jiwe 2020 tumfungulie kampuni ya ukandarasi ya ujenzi tunampa tenda zote za periodic maintenance na spot improvement za mfugale flyover kuziba nyufa za hosteli ya chuo kikuu
Kiapo kikiweka kipengele hichi Watakuwa na adabu kuleta miradi ya maendeleo kwa wananchi
 
Back
Top Bottom