Tujikumbushe kdg Mjadala upi na nani aliechangia ukaelimika

Dunda kwetu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
265
37
[h=2][/h]
Wana JF hapa tulipo mda si mrefu 2011 gudii bayy itakuwa sio mbaya ukajumuika nami kwa kutuabarisha mjadala upi ulio faidika kwa namna moja au nyengine a.k.a uligusa hisia na kuelimika na nani alichangia kwa umakini zaidi sina maana wengine waliochangia hawakuwa makini


1.Jua haki yako unapokamatwa na Polisi,Mjadala ulirushwa na Dada Bikra
na mwana haki alichangia vizuri sana:poa

2.Anti Lizzy alirusha mjadala ulikwenda kwa jina la Zawadi na wengi kuujadili

3.Misemo katika magari na ilpeperushwa na Mnyamahodzo,,Utakura ulipopeleka mboga by JAYJAY NA Domhome alikuja na ngoma kapewa kenge maji timbwilitimbwili
Je wewe una mjadala wowote uligonga kichwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom