Tujikumbushe kauli za Nape-katibu mwenezi CCM

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
Kuna rumors zinaendelea,Nape ana mpango wa kujiunga na Chadema,
naomba sana viongozi wangu wa chama mkae chini na kutafakari sio kila mtu ni wa kupokelewa kwenye chama
Nape na kundi lake,Makamba,Rizwan na wengine wamepiga hesabu zimekataa kabisa,nia na madhumuni yao ilikuwa waharibu legacy ya Makufuli ili wateuliwe kwenye nafasi yoyote wapate nafasi ya kujiandaa kurudi kwenye siasa
sasa inaonekana Philip Mpango anatia ngumu,,,,,,habari tulizo nazo...
naomba tujikumbushe kauli za huyu Nape akiwa katinu mwenezi CCM,,,ya kwanza hii hapa,ccm itashinda hata kwa goli la mkono!!!!
 
Naona nape amewapiga panapouma,.. Muiteni Polepole awasaidie la sivyo mtajifungua kabla ya siku zenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom