Tujikumbushe: Ina maana hata tume ya uchaguzi ilikosea kuandika kwa ufupi uchaguzi uliopita?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1573120976202.jpg
 
Mkuu una roho ngumu sana kama ya paka maana post zako za kijinga zinaondolewq humu ndani ya dakika unaibuka na nyingine

Mwambie makengeza akuongezee posho

State agent
 
Ina uma sana.
Bahati nzuri tu ni kwamba wapinzani hasa wa JF walikuwa tayari wameafiki kutokujiandisha kwenye zoezi lile
 
We unaleta Mambo ya mwaka 2015!

Tupo 2019 Mkuu

Tusipende kukosoa tu
Hatari tunayo 'Kawe Aumni' ni team ya ccm ya wabobezi wa mambo kujibu hoja mitandaoni.Inalipwa vizuri kwa kazi husika.Ila kwa comment za kiwango duni sana,acha niwachongee kwa boss wenu.
 
Back
Top Bottom