Tujikumbushe enzi za madaladala maarufu

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,859
763
Leo nimekumbuka sana zile enzi za madalada zenye majina maarufu ....wakati tukiwa madenti yaani ujanja ni kuwa 'staff' kwenye daladala maana yake haulipi nauli sababu makonda au dereva ni washkaji..ilikuwa raha kwelikweli.....kama konda hakujui akikuomba nauli unamwambia mi staff...muulize dereva..dah ...
Temeke Posta - Dunia Hadaa( hizi zilikuwa za mwanzo kabisa-Temeke/Tandika Posta),Riziki kwa mungu ,Golo, Kainkwa,Kita Ngoma nk.....Kwa upande wa Ubungo posta kulikuwa na yakle marefu makubwa ..nakumbuka Matema Beach....tukumbushane wadau......
 
Sio Matema Beach ni Shella Beach (mziki mkubwa), usisahau Ole wao wafuatao nyayo za simba - Ubungo-Posta
 
Mwananyamala-Kariakoo= Simba Luwala, Chako changu, Again, Najmunisa, ScabaScuba
Mwenge-Kariakoo= Makadidi, Kiabakari,

ilikuwa sio mchezo
 
Sio Matema Beach ni Shella Beach (mziki mkubwa), usisahau Ole wao wafuatao nyayo za simba - Ubungo-Posta

Nilikuwa nikishuka situpi ticket nakariri gari naitumia tena ninapokwenda safari nyingine, ulikuwa ukinisachi unanikuta na ticket za mabasi tofauti, Usisahau MSHUA - Ubungo - Posta.
 
ni MSURE, samahani!
 
pugu-k'koo.."SEA NEVER DRY"
buguruni-posta..."MASUMIN","JARIBU TENA"
vingunguti-posta...."INTER-PROGRAMMES"
 
Mwenge Posta = scolastica
Ubungo Posta = Jadide

hapo hatujakumbuka saratoga, tim toto, simbaluwala
 
Leo nimekumbuka sana zile enzi za madalada zenye majina maarufu ....wakati tukiwa madenti yaani ujanja ni kuwa 'staff' kwenye daladala maana yake haulipi nauli sababu makonda au dereva ni washkaji..ilikuwa raha kwelikweli.....kama konda hakujui akikuomba nauli unamwambia mi staff...muulize dereva..dah ...
Temeke Posta - Dunia Hadaa( hizi zilikuwa za mwanzo kabisa-Temeke/Tandika Posta),Riziki kwa mungu ,Golo, Kainkwa,Kita Ngoma nk.....Kwa upande wa Ubungo posta kulikuwa na yakle marefu makubwa ..nakumbuka Matema Beach....tukumbushane wadau......
mbeya kulikua na mwailubi,urassa,sokolo,mbembela,double coaster ya kwanza mbeya nzima el_kibo,karanja ilikua inapiga tripu tukuyu-mbeya mjini,wengine wataongezea.
 
Ha ha ha Moshi Mjini - KCMC kulikuwa kuna basi linaitwa CHEUPE KARUDI

Gong's (Gongo lamboto Kariakoo) kulikuwa na Costa maarufu yaitwa Mbundamilia
 
Iringa-Tanangozi.....Embakassy na Kombora
Songea...Sijui ilikuwa inaelekea wapi kutoka town kupita Bombambili--CHONAPI (hiace hiyo)
 
Muhimbili-Kariakoo = Kobombe tours

temeke post Liwelelo..nilikuwa nachangisha wenzangu nauli kuwa niko na hela kubwa then nashuka next stop na kula kona...hehe nakumbuka konda alikuwwa anashika makalio ya wanafunzi wa kike wa jitegemee mwarabu hivi sikumbuki gari gani..duh noma,kuna kunda alimaliza kwenye sket ya demu wanajeshi walimpa kibano acha...duh kweli tumetoka mbali...
 
mbeya kulikua na mwailubi,urassa,sokolo,mbembela,double coaster ya kwanza mbeya nzima el_kibo,karanja ilikua inapiga tripu tukuyu-mbeya mjini,wengine wataongezea.
Bakukijana, kumbuka Ile maneno inaitwa MBOGO'ULENJE pale Mbeya, kipiga ruti za Igoma Tunduma. Ile kitu ilikuwa haina mfano wake, Leyland Albion, ikipiga ile kinanda yake inasikika umbali wa kilometa kadhaa! Gia yake ndefu kama fimbo ya kuchezea pool!
Maisha haya bana!
 
Iringa-Tanangozi.....Embakassy na Kombora
Songea...Sijui ilikuwa inaelekea wapi kutoka town kupita Bombambili--CHONAPI (hiace hiyo)
..Chimu...unanikumbusha enzi za Upete Trans Mbeya - Songea via Makambako/Njombe...
 
Kulikuwa na FAMAGUSTA - Ogopa Matapeli.

Lilikuwa linasimamishwa na abiria wanaambiwa limeharibika na nauli hampati. Nusu nasaa unaliona barabarani.

Kuti kavu lilikuwa laenda Temeke?

Hivi Kipengule lilikuwa la wapi? Kipengule maa'angu kinaishi? kinaishia....
 
Back
Top Bottom