Tujikumbushe ahadi za Kigwangallah 2015

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,035
23,881
Wakuu baada ya kigwangallah siku ya leo kuwashukia vijana wajiajiri.. kupitia maneno yake haya;
“Ondoa wazo la kuajiriwa, fikiria zaidi kutumia elimu yako, connections zako, shida/changamoto za jamii na fursa zilizopo kwenye mazingira yako kusaka maisha bora zaidi, hautokwama hapo! ondoa kirusi cha kuajiriwa kabisa, futa, futa hadi kwenye ‘deleted folder’”- Waziri Hamisi Kigwangalla

Naomba niwakumbushie ahadi zake alizotoa mwaka 2015 wakati akitafuta ridhaa ndani ya chama chake.
Ahadi zake zenyewe ni hizi hapa chini kwenye picha;
IMG-20200225-WA0021-1.jpg
 
Sasa hivi amepiga "about turn" anataka vijana wakimaliza masomo ya vyuo wajiajiri wakati CCM wako tayari kuvitumia vyombo vya dola kuwapiga wananchi mabomu ya machozi na kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani ili wajihakikishie ajira za Ubunge na Uwaziri
 
Back
Top Bottom