Tujikumbushe 2003 mwaka ambao wanamuziki wengi walitoka kuliko miaka yote

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,577
Mwaka huu bado unashikiria record kwani ni mwaka ambao wanamuziki wengi walitoka zaidi ya miaka mingine toka bongo fleba ianze

1.noorah- vijimambo
2.Q-chief- aseme
3.ngwea-getto langu
4.mandojo&domokaya-nikupe nini
5.Kali p-imekaa vibaya
6.ziggy-d-enomic
7.mad ice-baby gal
8.pig black-nini mnataka mazee
9.matonya-uaminifu
10.bwana misosi-nitoke vipi
11.Mr blue-blueblue
12.university corner-tshirt na jeans
13.madee-kazi yake mola
14.akili ze brain-regina
 
Zali la mentali ya prof wakati inatoka mwaka huo kama sijakosea na mie nilikuwa nimeng'oa mtoto mmoja wa kishua sana, kila mara ninapopata nafasi ya kuisikia hiyo ngoma namkumbuka yule mtoto, maisha yanaenda kasi sana.
 
yeah
 
Joh Makini, Black Rhino, Bushoke, Jebby
Joh makini hit song yake ile chochote,popote ni 2007 mwanzoni
Black rhino hit song mistari ni 2004 mwishoni Bushoke pia katoka 2004 na barua yalikuwa majira ya mwezi februari
 
Zali la mentali ya prof wakati inatoka mwaka huo kama sijakosea na mie nilikuwa nimeng'oa mtoto mmoja wa kishua sana, kila mara ninapopata nafasi ya kuisikia hiyo ngoma namkumbuka yule mtoto, maisha yanaenda kasi sana.

what happened rafiki. ukamfyekelea mbali baada ya kupata ulichotaka?
 
Mad ice . uyoo jamaa angendelea angetusua sijui kapotelea wapi
 
what happened rafiki. ukamfyekelea mbali baada ya kupata ulichotaka?
Mzee wake alihamishwa kikazi tukabakia kuandikiana barua mpaka 2005 tukapotezana mpaka leo, mwaka 2015 nilikutana nae kwenye social media tukaishia kuwa marafiki tu kwasababu mie nilishafunga ndoa kitambo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom