Tujikumbushe 1986-1996

TEGEMEA

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
369
56
Mambo vipi wana JF.Mnakumbuka mavazi ya miaka hiyo?. Miaka hiyo ukiona pikipiki ujue ni ya bwana shamba.

Enzi hizo simu hakuna ukiwa masomoni lazima uandike barua, ukitumiwa fedha kwa posta(TMO)kuichukua mpaka uombe ruhusa. Namengine mengi nikumbusheni jamani.
 
Majina ya wanafunzi waliotumiwa TMO yalikuwa yanabandikwa katika ubao wa matangazo
 
1.Stamp zinafutwa mihuri zinatumika tena
2.Mpiga picha anakuja wikiendi kuwafotoa
3.Siku ya wali hadi headmaster anakuja kusimamia DH
4.Umeme ukikatika sherehe kwa kungonoka vichakani
 
1.Stamp zinafutwa mihuri zinatumika tena2.Mpiga picha anakuja wikiendi kuwafotoa3.Siku ya wali hadi headmaster anakuja kusimamia DH4.Umeme ukikatika sherehe kwa kungonoka vichakani
Dah umenikumbusha mbali,kufuta stamp na kutumia tena.Wali uliwekwa kwenye rambo halafu unahifadhiwa kwenye TRUNKER na kuliwa wiki zima.
 
Form1 waliitwa 'formless',kipindi hicho dadas wana mikandj yao ya vipepeo...old is gold!
 
  • Ukiwa na gari hata kama iko juu ya mawe wewe tajiri..
  • Hakuna pressure za sherehe moja uchange harusi, sendoff & Kitchen Party
  • Computer ilichukuliwa TV
  • Ukijua kiingereza (hata kama amesoma international hadi la saba) Msomi wa ulaya..
  • Kuuza sura kaaaazi kweli kweli... No FB, JF, MySp, Twits, Dah!
  • Entertainment disco.. e. t. c.
 
Back
Top Bottom