Tujikumbushe tuzo za TMA 2010 kabla timu hazijawa timu

magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
7,429
13,172
Nominees and Winners


Winners are in bold text.


Best Male Singer

Banana Zorro
Ali Kiba
Christian Bella
Marlow
Mzee Yusuph


Best Female Singer

Lady Jaydee
Khadija Yusuph
Maunda Zoro
Mwasiti
Vumilia


Best Song Writer


Mzee Yusuf
Banana Zorro
Fid Q
Lady Jaydee
Mrisho Mpoto
Mzee Abuu


Best Upcoming Artist

Diamond
Amini
Barnaba
Belle 9
Quick Racka


Best Hip Hop Artist

Chid Benzi
Fid Q
Joh Makini
Mangwea
Professor J


Best Rapper (from a Band)

Kitokololo]
Chokoraa
Diouf
Ferguson
Totoo Ze Bingwa


Best Song

Diamond - 'Kamwambie'
Banana Zorro - 'Zoba'
Hussein M - 'Kwa Ajili Yako'
Marlow - 'Pii Pii'
Mrisho Mpoto - 'Nikipata Nauli'


Best Music Video

CPwaa - 'Problems'
AY - 'Leo'
Banana Zorro - 'Zoba'
Diamond - 'Kamwambie'
Lady Jaydee - 'Natamani Kuwa Malaika'


Best Afro Pop Song

Marlaw - 'Pii Pii'
Ali Kiba - 'Usiniseme'
Banana Zorro - 'Zoba'
Chege - 'Karibu Kiumeni'
Mataluma - 'Mama Ubaya'


Best R&B Song

Diamond - 'Kamwambie'
AT featuring Stara Thomas - 'Nipigie'
Belle 9 - 'Masogange'
Maunda Zoro - 'Mapenzi ya Wawili'
Steve - 'Sogea Karibu'


Best Hip Hop Song

Joh Makini - 'Stimu Zimelipiwa'
Chid Benz - 'Pom Pom Pisha'
Fid Q - 'Im a professional'
Mangwea - 'CNN'
Quick Racka - 'Bullet'


Best Collaboration Song


AT ft Stara Thomas - 'Nipigie'
Barnaba/Pipi - 'Njia Panda'
FA/Prof Jay/Sugu - 'Nazeeka Sana'
Hussein M/Joh Makini - 'Utaipenda'
Mangwea/Fid Q - 'CNN'


Best Swahili Song (from a Band)

African Stars Band - 'Mwana Dar es
Salaam'

African Stars B - 'Shida Darasa'
Extra Bongo - 'Mjini Mipango'
FM Academia - 'Vuta Nikuvute'
K-Mondo - 'Magambo'
Machozi Band - 'Nilizama'
Wahapahapa - 'Chei Chei'
Best Album (from a Band)
African Stars Band - 'Mwana Dar es
Salaam'
Kalunde Band - 'Hilda'
Msondo Ngoma - 'Huna Shukurani'


Best Ragga/Dancehall Song

Bwana Misosi - 'Mungu Yuko Bize'
Benjamini wa Mambo J - 'Fly'
Drezzy Chief - 'Wasanii'
Dully Sykes - 'Shikide'


Best Reggae Song

AY ft Wahu - 'Leo (Reggae remix)'
Dabo ft Mwasiti - 'Don't Let I Go'
Hemedi - 'Alcohol'
Matonya/Bella -'Umoja ni nguvu'
Man Snepa - 'Barua'


Best Taarab Song

Jahazi Modern Taraab - 'Daktari wa
Mapenzi'

5 Star - 'Wapambe Msitujadili'
5 Star - 'Riziki Mwanzo wa chuki'
Coast - 'Kukupenda isiwe taabu'
Jahazi Modern Taraab - 'Roho Mbaya
Haijengi'


Best Taarab Album

Jahazi Modern Taraab - 'Daktari wa
Mapenzi'

5 Stars - 'Riziki Mwanzo wa chuki'
Coast - 'Kukupenda isiwe taabu'
EA Melody - 'Kilamtu kivyakevyake'
New ZNZ Stars - 'Poa Mpenzi'


Best East African Song

Kidum and Juliana - 'Haturudi
Nyuma'

Blu*3 , Radio & Weasel - 'Where you
are'
Cindy - 'Na wewe'
Kidum - 'Umenikosea'
Radio & Weasel - 'Bread and Butter'


Best Traditional Song

Mrisho Mpoto - 'Nikipata Nauli'
Machozi Band - 'Mtarimbo'
Offside Trick - 'Samaki'
Omari Omari - 'Kupata Majaliwa'
Wahapahapa Band - 'Chei Chei'


Best Producer

Lamar
Man Water
Marco Chali
Hermy B

Hall of Fame trophy

to an individual: Zahir Zorro
to an institution: Clouds FM
 
Best up coming artist anakimbiza Tanzania "Dont make me unleash the dragon"
 
HUYU KIBA KUMBE ALIKUWA ANABURUZWA HADI NA BANANA ZORRO!!!!????TENA KIPINDI HICHO NDO ALIKUWA KWENYE FOMU!!????
Jamani mniache kidogo
 
Nakumbuka Tuzo za 2004 au 2005, Wanaume Family walipiga Mapanga ya kufa mtu, Wimbo wa Nyumbani ni Nyumbani lile Biti lake ni balaa ilikuwa, KR Mullar, Mzimu, YP, Y DAsh, Temba, Kiroboto
 
Hizi tuzo zilinishangaza pale diamond alipochukuwa mbele ya belle 9.

Nilikuwa naona hastaili.

Uchawi alianza zamani.. yaani huyu jamaa anashangaza yaani hata akifanya uzinzi ndo washabiki wanamkubali zaidi.. ukute yule mamaake anayezunguuka nae hadi kwenye kumbi za zinaa ndo anabeba hirizi.. hatari sana!.. yaani mtu anatembea na mama kila kona na bado ndo kwanza uzinzi unaongezeka kama sio ushirikina ni nini? Kazi ya mama kwenye hizo safari ni nini
 
Kuna zile tuzo sijui za mwaka gani ilikuwa TID vs Dully zilikuwa the best kipindi icho TID katoka Marekani anaingia na begi kwny stage
 
Haya mambo ya kubebana yalianza kitambo sanaa kipindi hiko masogange ilikua hot sana
 
Those days , tuzo zilikuwa Tuzo


Tuzo zilikuwa tuzo wapi miyeyusho tu, best Reggae artist unampa Bwana Misosi, wakati kwenye Category hujamweka Reggae artist hata mmoja. Waandaji wa tuzo walikuwa wanafuata bendera ya Clouds FM lakini hawakuwa na ufahamu wa muziki.
 
Daaah umeleta hii list mpaka nimesikotika inamaana wote hao mpaka Leo taifa linawakilishwa na kijana mmoja ambaye ameweza kuwawezesha vijana wenzie ambo na wao wanaliwakilisha taifa afu nazidi kusikitika kati ya hao mpaka Leo aliyeimalika kiuchumi ni mmoja tu hapa nilipo nafanya imagination kama hao wangeweka juhudi na mipango ya kufika mbali naamin Leo hii Tanzania ndo ingekuwa imeteka soko la mziki Africa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom