Tujihadhari na ma-sugar mumies ya kizungu

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,737
405
Juzi kuna jamaa yangu mmoja amerudi kutoka ughaibuni,kama ujuavyo mtu atokae huko huja na stori nyiiiingi, basi jana jioni akawa ananisimulia kisa cha jamaa mmoja ambaye alipelekwa huko na mama mmoja wa kizungu ambae alikuja Bongo kama mtalii, si mnajua tena baadhi ya vijana wa Bongo wanavyopenda kushobokea wazungu, walikutana mwenge pale kwenye vinyago, jamaa akawa anazunguka na yule mama sehemu zote alizotaka kutalii, basi mtoto wa kimatumbi akarusha ndoano akamnasa mzungu wa watu na gemu la kibongo likamchanganya kiasi cha kufanya mpango akaondoka nae. Walipofika huko jamaa akageuzwa kama mdoli wa ngono, akawa anafungiwa ndani tu kazi yake ni kugawa mtarimbo,kibaya zaidi yule mama akawa anawaleta na rafiki zake nao wahudumiwe na kijana sometimes wote kwa pamoja, yule kijana yalipomshinda akatoroka ndipo akapewa hifadhi na huyo jamaa yangu na sasa anazichanga apate nauli ya kurudia Bongo...Tujihadhari jamani na kupenda maisha ya artificial.
 
anakuwekea gea ya kublock mbali sana kwani unaweza kumuomba akuchukuwe sasa anaweka kizingiti ujuwe ya huko majuu
 
serves him right....and the rest of you can learn from that....hopefully
 
Bure ghali!
Huwezi wewe kutaka maisha ya mteremko yasiyokuwa na gharama.Jiulize kwanini akuchukue akulipie nauli ya ndege licha ya gharama nyingine uende majuu ukakae bure maana huyu wa kukutana kwenye vinyago wala hana mipango madhubuti useme akifika huko atakuwa na la maana la kufanya.

Dhahama hii huwapata hata wasichana wanaopapatikia wazee wa kizungu.Wakifika ulaya wanaweza kujikuta wakitumikishwa kwenye madanguro na kunyanyasika vibaya mno.
Bora mtu ubaki bongo ukomae kwenye kilimo kwanza( kwa maana halisi ya neno lenyewe )kama huna shughuli nyingine.
 
Ha ha ha ha J umeniacha hoi kabisa! bora mtu abaki bongo akomae kwenye kilimo kwanza badala ya kutaka kujirusha majuu kwa vibabu vya kizungu....LOL! Kilimo kwanza Oyeee! Oyeeee! (kwa maana halisi ya neno lenyewe....LOL!... maana watu hawakawii kuweka maana wanazozitaka wao :)
 
Makubwa hayo.ila mzee hukusema majuu ni nchi gn alipelekwa lkn wabongo bwana hv hamjui ht majuu kuna ombaomba,maskini,nk kama huku bongo tuuuuuu?utakuta mzungu mwenyewe alipewa ofa kuja bongo na ww unaingi kichwakichwa.umeyaoooooona sasa?
 
.......Huyo kijana tamaa ilimponza, tena sio huyo kuna baadhi hata ya wadada ndio usiseme kutwa kuhaha beach na kwenye mahotel ili kusaka wazungu.Hili ni fundisho tosha kwa wale wanaopenda maisha ya mteremko.
 
Ndo kajifunza na siku nyingine atakuwa mfano kwa vijana wenzie ..wakiona rangi tu matatizo
 
Ndo kajifunza na siku nyingine atakuwa mfano kwa vijana wenzie ..wakiona rangi tu matatizo

Unajua kuna vijana ambao wanafikiri rangi nyeupe=wealth. Kumbe wengine wamejichokea halafu wahuni kupitiliza.
Bahati yake huyo jamaa alikua analetewa wamama tu,angeendelea kubaki angeletewa men wamsukumize na yeye! Ila akina dada ndio worse ktk mambo haya ya kushobokea wazungu.
 
dah tena kwa upande wa kina sisiteri ni noma tupu hapa nilipo kila mdada anataka atoke na mzungu ..kisa mshiko..
Ofisini nyingine jirani na hapa wadada 90% wana B/F wazungu sijui nyie kaka zetu mnafanyaje katika hali hii..;)(mnashea)
 
Nimekuwepo kwenye nchi fulani nikakutana na kijana wa kibongo, yeye yupo na mama wa kizungu, kazi yake ni moja tu kutwanga kinu. Nilimhurumia sana. Labda Ipitishwe sensa kuhusu vijana wa ki-tanzania waliowekwa kinyumba na vimama vya kizungu. Kazi hii ifanywe na balozi zetu zilizopo huko ughaibuni. Wakipataikana warudishwe kwenye kilimo kwanza (Thubutu nani aje huku???) hahahahaa!
 
kumbe

hahaha kumbe unajua watajificha kwenye hiyo sensa
 
Hadith yako nzuri na utunzi mwanana.Ila haisogei hata kwenye scale ndogo kabisa ya ukweli. Uwongo dhahiri shahiri. Hivi kijana kabisa barubaru unaweza fungiwa ndani na mwanamama tena aliyekuzidi umri ??lolz Achilia mbali kukulazimisha ufanye nae ngono??
 
Hadith ya nzuri na utunzi mwanana.Ila haisogei hata kwenye scale ndogo kabisa ya ukweli. Uwongo dhahiri shahiri. Hivi kijana kabisa barubaru unaweza fungiwa ndani na mwanamama tena aliyekuzidi umri ??lolz ACilia mbali kukulazimisha ufanye nae ngono??

hii si hadithi Abdulhalim inavyoonyesha ni ukweli mtupu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom