Tujifunze kutumia neno maliwatoni na siyo chooni

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,325
Kiswahili kina utajiri wa maneno yanayo weza kuleta radha katika mazungumzo kuliko lugha nyingi.


Zamani ulikua huwezi sikia mtu anasema naenda chooni kwa sababu neno choo lina tafsiri ya kuhudisha kitu ambacho si safi.

Wazee wetu ulikua unawasikia naenda uani, au nafanya usafi maliwatoni etc.


Leo unasikia nipo chooni nafanya usafi hadi anayesikia anajisikia hali fulani ambayo siyo.

Maneno mengine yapo lakini yana maeneo yake ya kutumika

Nwaswahili turudi darasani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom